Einstein, newton or liebnitz

Loyal_Merchant

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
657
Likes
89
Points
45
Loyal_Merchant

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
657 89 45
Katika sayansi watajwa hapo juu wanahesabika kwamba wana mchango mkubwa. Tukianza na NEWTON anajulikana sana uvumbuzi wa laws of motions na pia wengi wanafahamu kuwa amegundua hesabu ikiwamo calculus. Tukija kwa EINSTEIN, yeye anajulikana kwa theory of relativity pamoja na equation of life and death i.e E=MC^2. Ndo aliepelekea kwa kiwango kikubwa uendelezwaji wa nuclear and material physics. Na mwisho ni LIEBNITZ, huyu alikuwa mathematician na ndo inasemekana newton aliiba documents zake zlzokuwa znazungumzia uvumbuz wa calculus ikiwamo line, double and triple intergral na kwamba newton aliiba tu na kuwah kupublish idea. Na ikumbukwe calculus unaweza sema ndo back bone ya science coz almost vi2 vngi ktk sayansi vnategemea uwepo wake either kuviprove au kuvidevelop. So nan unadhan anadeserve kuwa best scientist of all time.? Je unadhan kuna mwngne zaid ya watajwa anaestahili?
 
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
997
Likes
612
Points
180
P

PakavuNateleza

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
997 612 180
Galilei GALILEO
 
Maganga Mkweli

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2009
Messages
2,099
Likes
71
Points
145
Maganga Mkweli

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2009
2,099 71 145
eistein
 
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2011
Messages
1,258
Likes
206
Points
160
kinyoba

kinyoba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2011
1,258 206 160
Einstein alikuwa wa ukweli zaidi, ndie mvumbuzi wa sayari ya pluto! Jamaa aliona mbali sana, kiasi aliitwa mzushi. Pia akili ziliongezeka kadri alivokaribia uzeeni.
 
M

mzambia

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
885
Likes
20
Points
35
M

mzambia

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
885 20 35
Father of light michael faraday
 
L3 C4p0n3

L3 C4p0n3

Member
Joined
May 26, 2011
Messages
18
Likes
0
Points
0
L3 C4p0n3

L3 C4p0n3

Member
Joined May 26, 2011
18 0 0
nimekuwa nikifuatilia midaharo mingi kuhusu WHO IS DA BEST SCIENTIST IN DA WORLD kila watu wanataja anaye mwona anafaa, but nilikuja gundua kwamba kuwa mvutano mwingine ktk makubaliano ya nani anastahili unakwamishwa na UTAIFA, cz kila TAIFA LINAMTAJA MTU WAKE KUWA THE BEST, bt mm huwa nakosa wa kumpa kura coz wote wamefanya mambo mpaka leo dunia inayaheshimu
 
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Messages
6,359
Likes
1,402
Points
280
Kobello

Kobello

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2011
6,359 1,402 280
Galileo!!
 
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined
Feb 12, 2007
Messages
11,649
Likes
134
Points
160
X-PASTER

X-PASTER

Moderator
Joined Feb 12, 2007
11,649 134 160
Hii kitu uwezi kusema kuwa nani ndio the best of best...!

Ebu angalieni Misri ya kale, Bebylon, China, Maya, Rome, India... Uko kote kulikuwa na wataalam wakubwa wakubwa... Chungulieni hizo nchi kisha semeni walifikia wapi kiutaalam.
 
Azimio Jipya

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
3,370
Likes
17
Points
135
Azimio Jipya

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
3,370 17 135
Katika sayansi watajwa hapo juu wanahesabika kwamba wana mchango mkubwa. Tukianza na NEWTON anajulikana sana uvumbuzi wa laws of motions na pia wengi wanafahamu kuwa amegundua hesabu ikiwamo calculus. Tukija kwa EINSTEIN, yeye anajulikana kwa theory of relativity pamoja na equation of life and death i.e E=MC^2. Ndo aliepelekea kwa kiwango kikubwa uendelezwaji wa nuclear and material physics. Na mwisho ni LIEBNITZ, huyu alikuwa mathematician na ndo inasemekana newton aliiba documents zake zlzokuwa znazungumzia uvumbuz wa calculus ikiwamo line, double and triple intergral na kwamba newton aliiba tu na kuwah kupublish idea. Na ikumbukwe calculus unaweza sema ndo back bone ya science coz almost vi2 vngi ktk sayansi vnategemea uwepo wake either kuviprove au kuvidevelop. So nan unadhan anadeserve kuwa best scientist of all time.? Je unadhan kuna mwngne zaid ya watajwa anaestahili?
Kiukweli in real sense of science ...hoja haziwezi kwenda kihivyooo ... BUT as long as we are social beings ... Kunakuwa just favorites kushabikia ..and the like

Mimi Best all the time ....ni Einsten

Mwingine ni huyu ... Gravity Driven Universe
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
10,728
Likes
8,306
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
10,728 8,306 280
Babu wa Loliondo.yeye kagundua dawa ya chemistry ya aina yake inayotibu magonjwa yote
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,426
Likes
3,481
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,426 3,481 280
nimekuwa nikifuatilia midaharo mingi kuhusu WHO IS DA BEST SCIENTIST IN DA WORLD kila watu wanataja anaye mwona anafaa, but nilikuja gundua kwamba kuwa mvutano mwingine ktk makubaliano ya nani anastahili unakwamishwa na UTAIFA, cz kila TAIFA LINAMTAJA MTU WAKE KUWA THE BEST, bt mm huwa nakosa wa kumpa kura coz wote wamefanya mambo mpaka leo dunia inayaheshimu
<br />
<br />
hapo nakuunga mkono. Kila mmoa ameplay part yake ktk kufanikisha science ifike hapa ilipo. Wote ni best.
 
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Messages
2,665
Likes
2,612
Points
280
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined May 20, 2010
2,665 2,612 280
Uh ! Einstein ameibadilisha dunia kabisa , na bado theory zake hazijawekwa in application to the fullest , soon tutatoka from a digital world to Quantum world
 
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
7,894
Likes
7,577
Points
280
Age
30
elmagnifico

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
7,894 7,577 280
Uh ! Einstein ameibadilisha dunia kabisa , na bado theory zake hazijawekwa in application to the fullest , soon tutatoka from a digital world to Quantum world
<br />
<br />
ebu nielezee about quantum world coz nimejaribu google nkasoma but yan cjaelewa kaka
 
PlanckScale

PlanckScale

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Messages
512
Likes
20
Points
35
PlanckScale

PlanckScale

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2008
512 20 35
My Opinion...

One thing that is unique to Einstein contribution as compared to other scientist is that, his work covered both classical "mechanical" physics and quantum physics (modern physics)...In classical physics Einstein improved Newton's laws by showing (through special relativity) that they are merely an approximation of a more fundamental laws of nature. Einstein also changed our notion of space-time and gravity through his general relativity theory. In modern - quantum physics, Einstein showed that light exist in discrete units by using Planck's concept of black body radiation to describe photoelectric effect. By the way, photoelectric effect is the fundamental principal behind solar panel battery system. Classical physics and Modern (Quantum) physics both describes our nature in a very different way. Einstein's contribution to the development of the two puts him in a special place among the rest.

But it should be mentioned that...unfortunately Einstein was overwhelmed by the indeterminacy of Quantum Mechanics, as suggested by his famous quote: "god does not play dice". Because of that, Einstein did not accept many premises of Quantum mechanics. In fact, some physicists have claimed that if Einstein had died in 1925 he would have been just as famous as when he died in 1955 ...because he was left behind by the development of the new physics of the small...quantum mechanics. However, this does not diminish his greatness, of course...
 
Forum statistics

Threads 1,238,823
Members 476,196
Posts 29,332,252