Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Au ndiyo umewasha CCTV sasa! Ahaha loh ndiyo maana kila mtu anakimbia hapa
Mmmh! Atakuwa anasafiri sanaa huyo! Siku mbaya naona jamaa anataka sema khal hairuhusu ndiyo maana umekuja!
bye jamani kesho mungu akipenda
Hahahaha nimechekaaa
Ndiyo tarehe zenu hizi tunazijua! Wengi khal ni tete! Ukitaka dada akukubalie mwambie siku kama hizi maana anajua hutafanya lolote!
Hahahahha hv kwann mnapenda kutuffatilia?
Hapo nikufuatilia eeeh??! Ngoja nikupm ndiyo ujue jinsi ya kufuatiliwa ahahahahaha
PM imejaa
Usiongizi kwishney