denestumain
Senior Member
- Sep 20, 2014
- 172
- 152
Jamani naomba kufahamiana na watu wapya nitapenda kuwasiliana nanyi, karibuni
Jamani naomba kufahamiana na watu wapya nitapenda kuwasiliana nanyi, karibuni
Humu tunafaahamiana kwa ID tu,
wachache tuna-mingle inapobidi, na hata ikitokea utanifahamu kwa jina la Twilumba until proven hujaja kwa kuagizwa na tuwaambiao ukweli wakakasirika!
Kwa makavu tunayopeana humu kufahamiana na mtu physically ni kujitafutia kupunguzwa meno na kucha bila hiari!
Kwa heri
lete habari
Here I am
Karibuni barazani ama sebuleni!?
Ha ha aah! Habari yako ndugu?
umejuaje kama ni kaka?Safi tu kaka mambo ni aje
Mhhh napita tu naelekea mtoni
umejuaje kama ni kaka?
Mhhh napita tu naelekea mtoni
Hivi nyie mnashift za usiku nn...no kulala lol
Mhhh napita tu naelekea mtoni