Taifa limejaa wauwaji hili ajabu toka nizaliwe sijawahi kusikia mkuu wa mkoa kaishi milele duniani wote ni chakula cha funza saluti na misafara ni mapambo ya dunia adhabu ipo kaburini.
Mungu atusuru na udhalimu huu wa ulevi wa madaraka mwanadamu kutaka kusujudiwa.