Who Is Mange Kimambi? Jua ukweli wenye facts sio grapevine kumhusu huyu mtu, biography and facts!

Status
Not open for further replies.
Habari zenu wana jamvi pendwa.

Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa updates zote zinazoendelea nchini haswa jijini kwa mkuu "D"
Kuna huyu binti Mange Kimambi nimekuwa nikifuatilia sana tena kwa kina uchambuzi wake kuhusu masuala kadhaa au ngoja tu niite "upelelezi" wa masuala fulan fulan na nikagundua kwamba ni mtu mwenye uwezo mkubwa na wa hali ya juu sana katika masuala ya upelelezi ukizingatia na utoaji wa evidences pia.
ushauri-- kama wazee wa kitengo cha intelijensia mtapata bahat ya kuusoma uzi huu embu basi jaribuni kumchukua kijana maana anaweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwenu na kwa taifa pia. Ahsante.
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba
 
  • Thanks
Reactions: Mj1

17333744_739416872907945_8486156448277987328_n.jpg
 
Jpm mwenyewe kwenye issue ya bashite anasita tu ili aonekane amempa credit huyu dada kirahisi!

Ila tukiacha chuki na mapungufu yake kama binadamu huyu dada yuko vizuri sana!

Sijui jpm atatumia mbinu gani kumtuliza huyu dada maana kuna watu wazito ndio wanaonyetishia hizo za uvunguni!

My take # Jpm if you cant fight them join with them
 
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba

Inaweza ikawa ni kweli unayosema mkuu ila mbona hao ma'shushushu' hatuoni wakifanya kazi japo kama hizi
 
Ni upuuzi wa wale wanaoaminiwa na kupewa majukumu ndio wanamfanya huyu dada kupata sifa na kufanya yale anayofanya lakini hakuna kitu cha ajabu hapo
 
Wewe ndugu yangu sijui kama unaijua fani ya intelijensia vizuri.Nakushauri tafuta kitabu Mr Chahali "SHUSHUSHU" ndo uweze kusema hayo kwa kipenzi chako Mange Kimimba
Kama ilivyo kwa wanasheria kuna Bush Lawyers ... huyu Mange ni Bush Ditective aisee... anawanyoosha balaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom