Who is likey to be the looser between Belgium and Rwanda

Who is likey to be the looser between Belgium and Rwanda

Kagame anajiweka kwenye wakati mgumu sana, maana sasa anagombana na kila mtu, sisi majirani zake hatuko kwenye terms nzuri na yeye, amegombana na South Africa sasa kalianzisha na Belgium hatuji nani anafuata kwenye list ya wagomvi wake. Ngoma ikilia sana inakaribia kupasuka. Tumsubirie tu na kiburi chake.
 
Belgium will be the ultimate loser despite the actual outcome.

The fact that a tiny African country could challenge and humiliate them publicly, it is an insult to the 'white supremacy'.

Unknowingly, Kagame might have set a precedent for other seemingly inferior nations to stand up against other western bullies.

They might withdraw their aid but at least the notion of them being superior/untouchable is being removed.
 
They might withdraw their aid but at least the notion of them being superior/untouchable is being removed.
Are you sure whites have that notion of WHITE SUPREMACY/superiority? What I am sure they have in their minds is that their economies are far better than ours!
 
Mzee tolu analinda nchi yake watu wake wasiuawe na mbeligiji analinda shamba lake lisigawanywe.... patamu hapo, ila mzee Tolu hana cha kupoteza inabidi ajilinde kwa gharama yoyote
 
Wanasema ngoma ikivuma sana.....
Tolu kalewa sifa na huko anakogusa kutamgharimu.
 
Belgium will be the ultimate loser despite the actual outcome.

The fact that a tiny African country could challenge and humiliate them publicly, it is an insult to the 'white supremacy'.

Unknowingly, Kagame might have set a precedent for other seemingly inferior nations to stand up against other western bullies.

They might withdraw their aid but at least the notion of them being superior/untouchable is being removed.
Is Rwanda a rupubilican state or Kagame dynasty, doing every thing for own benefit but not for Rwandans, Kagama has nothing to lose its his citizens that suffer he has hijacked them.
 
WA CONGOMANI NDIO WANAUMIA NA VIZAZI VYAO VYOTE.
Congo ni nchi kubwa mno Rwanda inaingia Mala 90 ya eneo la Congo.

Belgium ina eneo la takriban 30,689 km², wakati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ina 2,345,409 km².

Hii inamaanisha kwamba DRC ni takriban mara 76 kubwa kuliko Belgium. Belgium ingeweza kutoshea ndani ya DRC mara nyingi sana!

Wakongomani wanavuna Laana ya usaliti.

USALITI UTAWALAMBA VIBAYA MNO.
 
Back
Top Bottom