Who is likey to be the looser between Belgium and Rwanda

Who is likey to be the looser between Belgium and Rwanda

Kama gadafi alipewa kpgo na akaondolewa sembuse huyo kagame yaani atatafutiwa zengwe atashtukia tu amepgwa risasi rwanda humo humo na ameuawa ksha anawekwa atakayewaskiliza ulaya ndo tyr hvyo.
Naungana na wewe,PAKA ataingiliwa kwenye utawala wake kupitia uasi na kufurushwa.
Time will tell
 
Kama gadafi alipewa kpgo na akaondolewa sembuse huyo kagame yaani atatafutiwa zengwe atashtukia tu amepgwa risasi rwanda humo humo na ameuawa ksha anawekwa atakayewaskiliza ulaya ndo tyr hvyo.
Atakayemgusa Kagame hawezi kubaki salama, awe Russia au Mchina atatembezewa kipigo cha mbwa koko
 
Kagame anajiweka kwenye wakati mgumu sana, maana sasa anagombana na kila mtu, sisi majirani zake hatuko kwenye terms nzuri na yeye, amegombana na South Africa sasa kalianzisha na Belgium hatuji nani anafuata kwenye list ya wagomvi wake. Ngoma ikilia sana inakaribia kupasuka. Tumsubirie tu na kiburi chake.
EU nao wamempiga vikwazo na majenerali wake

Huku SADC na EAC wanamhanya
 
Sio kwamba Kagame anataka nchi airudishe kule walipotoka tu.
Ile nchi ni ndogo ikivamiwa raia wanakimbia wote.

Kiuchumi itaporomoka pia miundo mbinu, je' hawaogopi kurud mwanzo..?
Japo mr tall yupo sahh kukoroma kweny empire yake.
Ila awe makini sana usalama umepungua kwanzia mlo wake n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom