Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Nkunda analipa kiwango cha chini USD 600 per month kuna vijana kibao kutoka Burundi, Congo na hata Rwanda wanaenda sio tu kwa sababu zilizoanishwa hapo na wachangiaji mbali mbali bali there is life to work with mjeda Nkunda kuliko kuendelea kusota kijiweni. Swali kubwa sijui jamaa anavyonzogani vya mapato kuweza kulipa kiwango hicho cha mshahara ukichukulia katika ukanda huu wa maziwa makuu na hakika ndio kiwango cha juu kabisa kulipwa kwa mwanajeshi wa chini.
Kwa mfano tu burundi wajeda na polisi wanachukua mshahara chini ya elfu hamsini za kibongo, can you imagine lakini muasi analipa mshahara zaidi ya mara 10 inayolipa serikali.
Kunawatu wanatonya jamaa anamigodi ya almasi na dhahabu ambayo inatema kinoma na jamaa anauza ulaya na marekani kwa hiyo anauwakika wa kulipa mishahara minono na kuendelea kutoa kichapo kwa serikali ya Congo. Kama kuna mjumbe ana data zaidi anaweza kutujuza uhususani mishahara na askari wanatoka wapi.
Kiwango cha ukosefu wa ajira Congo na Burundi kiko juu sana kiasi kwamba ni rahisi kwa vijana kushawishika kujiunga na waasi na kusonga mstari wa mbele. Wakati mwingine ukiwa mbali na ukanda huu unashindwa kufigure out nini hasa kiko huku.
nkunda analipa kiwango cha chini usd 600 per month kuna vijana kibao kutoka burundi, congo na hata rwanda wanaenda sio tu kwa sababu zilizoanishwa hapo na wachangiaji mbali mbali bali there is life to work with mjeda nkunda kuliko kuendelea kusota kijiweni. Swali kubwa sijui jamaa anavyonzogani vya mapato kuweza kulipa kiwango hicho cha mshahara ukichukulia katika ukanda huu wa maziwa makuu na hakika ndio kiwango cha juu kabisa kulipwa kwa mwanajeshi wa chini.
Kwa mfano tu burundi wajeda na polisi wanachukua mshahara chini ya elfu hamsini za kibongo, can you imagine lakini muasi analipa mshahara zaidi ya mara 10 inayolipa serikali.
Kunawatu wanatonya jamaa anamigodi ya almasi na dhahabu ambayo inatema kinoma na jamaa anauza ulaya na marekani kwa hiyo anauwakika wa kulipa mishahara minono na kuendelea kutoa kichapo kwa serikali ya congo. Kama kuna mjumbe ana data zaidi anaweza kutujuza uhususani mishahara na askari wanatoka wapi.
Kiwango cha ukosefu wa ajira congo na burundi kiko juu sana kiasi kwamba ni rahisi kwa vijana kushawishika kujiunga na waasi na kusonga mstari wa mbele. Wakati mwingine ukiwa mbali na ukanda huu unashindwa kufigure out nini hasa kiko huku.
Kabila kakulia hapa nchini akiwa mkimbizi ambako lugha inayozungumzwa na Kiswahili na kiingereza, hivyo kusema kuwa siyo Mcongomani kwa kuwa hajui kifaransa ni kupotosha ukweli. Kwa kuficha uasili wake, baba yake alijulikana kama Mfipa na hiyo ilikuwa na sababu kubwa kwa sababu alikuwa ametofautiana na Mobutu.
Kabila ni Mkongomani na wala tusipotoshe hilo. Nkunda anatumiwa kwani kuna jitihada za dhati kwa watu wa asili ya Bahima kutaka kutawala nchi zote za maziwa makuu. Angalia Uganda, Museveni ni Mhima, Kagame ni Mhima, na Burundi watutsi hawaishi kufanya chokochoko ili watwae nchi. Wahima ni watu hatari sana, ukisoma historia utaelewa vizuri walikotoka na jinsi walivyo walaghai wenyeji waliowakuta na kisha kuwatawala. Kwanza watajifanya waganga wa kuleta mvua nk. kisha kuishia kuchukua madaraka. Ni wepesi sana kujipenyeza katika serikali yoyote na kupewa madaraka hata katika vyombo vya ulinzi na usalama. Mfano mzuri ni pale Kagame alipoichukua/tawala Rwanda, tuliona watu wengi waliokuwa na madaraka hapa nchini kutimkia Rwanda na kupewa madaraka makubwa. Hapa nchini walikuwa wanajiita Waha, Wahangaza, Wasubi nk. Ogopa Mhima [MTUTSI]. Inauma lakini ndiyo ukweli.
Mzee Kibiongo nadhani wewe unajua ukweli kuhusu hawa jamaa. Ukiangalia kuna watu wengi sana wamesoma pale shycom sasa hivi ni maofisa wakubwa kule Rwanda, kina Rutihinda wote mpaka wamefikia ugavana wa benki Tanzania lakini ni watusi na sio watanzania, sijui vyombo vyetu vya usalama vilifanya kazi kweli au jamaa alipewa madaraka kwa makusudi.
proof pls.....ingawaje najua ni story za ulevini tuu na kupakaziana bila sababu,halafu tunajiuliza kwanini kina Nkunda wapo msituni!
DR Congo's rebel leader arrested
Gen Laurent Nkunda, leader of the strongest rebel group in eastern Democratic Republic of Congo, has been arrested, the military says.
He was detained in Rwanda after resisting a joint Rwandan-Congolese operation to arrest him, officials say.
Some 4,000 Rwandan troops this week entered DR Congo to help fight rebel forces in the area.
Correspondents say Gen Nkunda's arrest removes one obstacle to peace but other rebel groups remain active.
BBC Africa analyst Martin Plaut says Gen Nkunda has been caught in the rapidly changing diplomatic situation in Central Africa.
Gen Nkunda had been Rwanda's ally in eastern DR Congo - a Tutsi, like Rwanda's leaders, he guarded their Western flank against attacks from the Hutu forces who fled there after the Rwandan genocide of 1994.
But in mid-November Rwanda shifted its position, announcing it would work with the Congolese to destroy the Hutu rebels.
Gen Nkunda did not back the new alliance and so became an impediment to Rwandan plans in the region, causing Rwanda to turn on him, our correspondent says.
The decision earlier this month by a group of Gen Nkunda's top commanders to break away and join forces with government troops gave them their opportunity, he adds.
Henry Boshoff, an analyst from South Africa's Institute for Security Studies, told the BBC that following intense diplomatic pressure in recent months, Rwanda was obliged to arrest Gen Nkunda.
The next step is for the joint Congolese-Rwandan force to tackle the FDLR Hutu rebels, some of whose leaders are accused of involvement in the 1994 slaughter in Rwanda of some 800,000 Tutsis and moderate Hutus.
But Mr Boshoff says this may not be easy, as they have resisted previous attempts to disarm them.
Arrest warrant
The rebel leader was detained in Rwanda after troops converged on his stronghold in the Congolese town of Bunagana.
"The ex-general Laurent Nkunda was arrested on Thursday 22 January at 2230 hours while he was fleeing on Rwandan territory after he had resisted our troops at Bunagana with three battalions," a Congolese-Rwandan official statement said.
Gen Nkunda has lost the support of some of his troops in recent weeks
Rebels with him were being urged to disarm, reports said.
Congolese Information Minister Lambert Mende Omalanga, told the BBC he welcomed the arrest.
"I think it is a good achievement for peace and security in this area and this region of Great Lakes," he said.
DR Congo has issued an international warrant for Gen Nkunda's arrest following past accusations that his forces had committed atrocities and Mr Omalanga said he wanted Rwanda to extradite him to face justice in DR Congo.
Rwanda has not yet said whether it will hand over its former ally.
Some of Gen Nkunda's forces - perhaps as many as 2,000 - are still said to be loyal to him.
The question now is whether they will fight, or whether they will join the new consensus and become integrated into the Congolese army, correspondents say.
The CNDP launched a major offensive in August 2008, which displaced more than a quarter of a million people in North Kivu and raised fears of both a humanitarian crisis and a wider regional war.
Correspondents say this may have been Gen Nkunda's undoing, by bringing huge international pressure on all sides to end the conflict in DR Congo.
Human rights group have accused CNDP forces, along with those of the government, of numerous killings, rapes and torture.
All sides in the Congolese conflict have also been accused of using the fighting as a pretext to loot eastern DR Congo's rich resources of minerals such as gold, tin and coltan, used in mobile phones.
Some five million people are estimated to have died as a result of almost 15 years of conflict in DR Congo, following the Rwandan genocide.