Koba said:...mkuu taratibu hapo,nafikiri ni vizuri kuweka emotions pembeni na kuangalia facts za pande zote la sivyo vita itaendelea,na inaonekana kwako verdict ni tayari na Nkunda is a war criminal na Rwanda ndio Nkunda,na unaamini Nkunda sio Congolese ila ni tutsi wanaotaka hima empire in great lakes,na inaonekana huelewi vizuri hii saga ndio maana umebaki kushutumu upande mmoja tuu,hakuna mtu mwenye interest ya vita au kuchukua nchi ya mtu mwingine,security ndio issue kubwa hapo...sijui kama unaweza kulala kama adui yako ambaye ameua watu almost a million kasimama next door walking freely,sijui kama wewe ungekuwa Kagame unge deal vipi na Hutu extemist ambao sasa wamepiga camp Congo wakisubiri muda muafaka kuvamia Kigali na Kabila hawafanyi chochote,na wakiamini mtutsi yeyote duniani ni adui yao,tatizo sasa limekuwa more complicated in Congo(politically) maana propaganda ni kwamba banyamurenge(almost a milion) sio congolese,sasa sijui unataka Nkunda Banyamurenge waende wapi au walale wasubiri waje kuchinjwa(that will never happen my friend)..kabila kama ni kiongozi wa wacongo wote lazima ajue kina Nkunda wana legitimate issue wanayopigania na lazima awahakikishie usalama wao na aache propaganda za kuwafanya Banyamurenge kama sio raia halali wa Congo la sivyo security wataitafuta wenyewe na sitashangaa kabila akaishia kuwa mkimbizi na yeye!
Koba,Masanja,Netanyahu,
..wakati wa kumuondoa Mobutu majeshi ya Rwanda yalivamia makambi ya wakimbizi/Interahamwe and they went on killing rampage.
..baada ya kufika Kinshasa, jeshi lilokuwa na overall responsibility ya security in Congo lilikuwa jeshi la Rwanda/Banyamulenge, na kamanda wao alikuwa Mnyarwanda Gen.Kabarebe.
..Kabila alikuja kuwafukuza hawa Wanyarwanda.within two months Rwanda launched an air assault inside Congo and occupied the areas close to Angolan border. wakati huo huo wakashirikiana na Waganda ku-occupy eastern Congo. huo ndio ulikuwa mwanzo wa vita kati ya SADC vs Rwanda and Uganda.
..kuna kipindi Rwanda,Uganda,and their proxies, controlled Eastern Congo an area which was more than half the size that country. that occupation and conflict lasted more than 5 mpaka uchaguzi ulipofanyika.
..inajulikana kwamba Wanyarwanda,Waganda, and their proxies, commited untold attrocities and killings in the areas they occupied. by the time wanaondoka Congo wananchi zaidi ya millioni 2 walikuwa wameuawa.
..tunachosema sisi ni kwamba hawa watu milioni karibu 3 waliouawa kule kwenye makambi, na during occupation wanatosha.
..kama Rwanda na vibaraka wao hawakuwamaliza Interahamwe wakati wa kumtoa Mobutu, na miaka 5 ya ku-occupy the entire eastern Congo, kwanini wailaumu serikali ya Kabila isiyokuwa na jeshi lolote la kueleweka?
NB:
..vita ndani ya Congo imeuawa wananchi wengi kuliko wale waliouawa wakati wa genocide ya Rwanda.
..dunia itakapokaa na kuchunguza idadi ya maisha yaliyopotea tusijeshangaa kukuta wamekufa wananchi wengi kuliko population nzima ya Rwanda -- pre and post genocide.
..INATOSHA!!!