Hawa jamaa msingi wao umeegemea kwa PHD holders wa Political Intelligence wako watatu. Hao wadau kwa mara nyingine tena wameiokoa ccm ktk gumu la uchaguzi ndani ya chama.Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
siyo viazi ni nyanyaWakati Kikwete anaingia madarakani, Mangula alitolewa katika nafasi ya ukatibu mkuu, na alipojaribu kugombea uenyekiti wa ccm mkoa Iringa, alipigwa chini, akarudi kwao kulima viazi.
Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
Wapinzani a.k.a UKAWA ndio Think Tank a.k.a Master Mind wa CCM
Why? Bcoz wao Upinzani ndio walioifanya CCM icheze hiyo michezo yote kwa kuibua Ufisadi ndani na nje ya Bunge. Kuibana Serikali ya CCM kiutendaji,
Kwa hiyo ngoma wanayoicheza CCM ni matokeo ya Ustadi wa Wapinzani kuibana CCM, hasa kuibua Ufisadi.
Upinzani ndio think tank a.k.a Master Mind ya Nchi hii. Hivyo tuwape kura UKAWA
habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
Hakwenda kulima Nyanya bali alikuwa analima viazi. Uliyemshukuru kwa kukusahihisha ndiye aliyekopotosha!! Zao la kibiashara kwa Mangula lilikuwa ni Viazi na siyo Nyanya.Asante mkuu kwa kunisahihisha.
Wild guess, Wassira ni muhusika katika hii timu.
Hakwenda kulima Nyanya bali alikuwa analima viazi. Uliyemshukuru kwa kukusahihisha ndiye aliyekopotosha!! Zao la kibiashara kwa Mangula lilikuwa ni Viazi na siyo Nyanya.