^^
Uko sahihi sana! Na mimi ni mmoja wapo. Lakini, hebu tujadili hili, kuna maana ipi ya kushikilia mikakati ya muda mrefu huku ukiwa na mwanamke ambae hana comittment
^^
Unajua nimekutafuta hadi uvunguni mwa makochi sijakuona.... kumbe umetulia huku....
Siku njema mkuu.
Ukiishi Na Watu Unayaona Mengi,Mtu Anasahau Kwamba ujana ni wa muda mfupi tu,Na Kuna Maisha Zaidi Ya Starehe. Bulldog Niliongea Naye Ila Naona Hatilii Maanani,
Mtu anafanya kazi tena nzuri sana ila hela kuipangia mikakati ni tabu sanaa.
Mie Naamini Kila Kijana Anandoto za kuwa na familia,Na Kama Umri Wako Ni Zaidi ya miaka 25,Unapaswa kutambua kwamba majukumu yanakinyemelea tena kwa kasi kubwa mno,
Wazazi Wa Kesho Tujitahidi Kupunguza Starehe Na Tuwekeze Kwenye Mambo Ya Msingi