Ametafuta na kukosaje!?
Kuna mengi kama
1. Kushindwa kujua kuandika CV na CL ikavutia
2. Kutojua kulenga kazi kutoka kwenye tangazo au utakapo tu kutuma kivyako
3. Kutokujua kujieleza kama mtu ameitwa kwenye interview
4. Kuna pia zile test watu kushindwa kujua ujanja ndani yake.. or kutojisomea kuhitayarisha.
5. Kutokutaka kujua undani wa unapoomba kazi.
6. Kujifikirisha kichwani eti huwezi kupata kazi.
7. Kutokusoma huku unajua unatafuta kazi.. kila ombi lijue moyoni.. maombi huwa haswa kwa CL na Skills mara nyingi inabidi ulenge hiyo kazi unayoiomba.. so unabadilisha..
8. Ukikosa kazi tuma e-mail au piga simu juulizia wewe ikikuwaje.. ukiyajua utajiweka vizuri kwa ajili ya baadae
9. Kazi ni kazi.. kama haupati unayotaka basi anza na ingine kama ukipata.. na uwe na furaha kwasababu hiyo kazi itakupaisha ki maujuzi na kurembesha zaidi CV yako pia. Ukiwa kwa kazi hiyo unaupsdate CV na kuanza kuomba kazi unapolenga.. huku umejiepusha miastresi kibao.. kazi kama za restaurant, dukani, n.k. ni nzuri sana kuanzia hayo pia usisharau.. unapata skills kibao
10. Mkiwa chuo mjitahidi mpate part-time jobs na sio kushinda kitandaoni muda mnaokuwa free
11. ...
Hayo nimeandika kivyangu.. wajuzi waje wajuze zaidi
Ona aibu kwa kuandika kama unamcheka mwenzako.. wewe ni tatizo pia.. sivyo mnatakiwa kuishi.. elimu ya nchini kweli haina manufaa kwa wengi kwa upande wa busara etc
Nashangaaa elimu ya wivu na roho mbaya nchini hapa ilifundishwaje, maana sikudumbukia humo.