Hackers ni ni wataalamu wanajua sana kucheza na computer ambao wanafahamu sana ni code gani hutumika katika kutengeneza programs fulani. hivyo kwa kutumia ujuzi wao wana uwezo hata wa kufungua password yako bila ya matatizo yoyote wakasoma wanachokitaka bila ya wewe kugundua kitu. kwa ujumla hawa ni programmers wanaotumia vibaya ujuzi wao na hivyo kuonekana kwa ujumla wao ni wabaya ila ni watu wazuri tu.. kwa jina la kawaida wanapofanya kazi zao vizuri huwa tunawaita CRACKERS to mean wendawazimu wa masuala ya computer. hao ndio hackers ni wewe au mimi.
goodluck