Who Deserves To be a JF Celebrity?

duh vitu vya zamani hivi wkt ule ukimaliza siku hujaingia jf unahisi we mdogo sana, umepwaya.

r.i.p msamiati
 

Binamu Watu8 huyu jamaa aliyekufagilia hapa naambiwa ametangulia mbele ya haki.

RIP Msamiati

Sote tuko njia moja.
 
Last edited by a moderator:
Aisee mpwa mbona habari ya kuhuzunisha na kushtusha hii...

Bahati mbaya sikuwahi kukutana na huyu jamaa aisee ila nimekuwa nikimuona hapa JF mara kadhaa...

R.I.P mkuu Msamiati

Binamu Watu8 huyu jamaa aliyekufagilia hapa naambiwa ametangulia mbele ya haki.

RIP Msamiati

Sote tuko njia moja.
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Msamiati

Tutakukumbuka daima
 
Sisi ni Wake na Kwake tutarejea Pumzika Katika Amani Mkuu
 
Pole sana Watu8
 
Last edited by a moderator:
Dah!! maisha ya wanadamu kama vile maandishi ya chaki na ubao

Wakati wowote yanaweza kufutika kama vile hayakuwepo kabisa...

Like candlelight in the wind.. Gone too soon..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…