Boss alimpigia simu secretary wake kwamba wanaenda trip wiki ijayo,secretary akampigia mme wake simu kwamba hatakwepo kwa wiki moja atakuwa yupo kwenye trip na boss. mme wa secretary akampigia hawara wake simu kwamba aje nyumbani wawe pamoja mkewe kasafiri,hawara akampigia simu mwanafunzi wake anayemfundisha kwamba
hatamfundisha mpaka baada ya wiki moja,mwanafunzi akampigia simu
babu yake (boss),kwamba hamna shule kwahiyo atakuja nyumbani kwa
wiki mmoja,boss akampigia simu secretary wake kwamba hamna trip
tena,secretary akampigia mmewe kwamba trip imeahirishwa,mme akampigia simu hawara kwamba asije mmke kaahirisha safari,hawara
akampigia mwanafunzi wake kwamba shule ipo kama kawaida,mwanafunzi
akampigia babu(boss) kwamba siji tena shule kama kawaida ipo.Boss akampigia tena secretary kwamba tuna trip kama kawaida.