I think ni 24 legs...naona mtego wa swali lipo kweny "you have" apo unaambiwa you have 3 cows 2 dogs and 1 cat...apo you have inaaminisha possession tayari kwaiyo anaposema mara ya pili how many legs do you have....naona ni swala la kuplus miguu ya idadi ya wanyama uliomiliki