mzazi ni mzazi, awe mzuri awe mbaya, awe na tabia nzuri au mbaya, akuudhi asikuudhi ni wajibu wako kumtunza.
Mara nyingine baraka hukimbia kwa tabia hzo
hujambo Husn? Za weekend? Kutokana na post yako hii inaelekea utotoni kuna kitu kilikutokea,potezea tu,maisha ni mafupi tu.Huyo mzazi aliwafanya nini watoto wake hadi wamemtelekeza.
Usiangalie upande mmoja na kulaumu.
Kuna wazazi wanaishi na watoto wao utafikiri hawajawazaa wao.
Huyo mzazi aliwafanya nini watoto wake hadi wamemtelekeza.
Usiangalie upande mmoja na kulaumu.
Kuna wazazi wanaishi na watoto wao utafikiri hawajawazaa wao.
Nilichukua jukumu la kusimamisha safari yangu na kumchukua kumpeleka hospitali kwa matibabu lakini njia nzima akilia kwa kutupwa na watoto wake aliowabeba tumboni mwenyewe na kujinyima kila kitu kwa ajili yao ili wafikie malengo ya maisha.
hujambo Husn? Za weekend? Kutokana na post yako hii inaelekea utotoni kuna kitu kilikutokea,potezea tu,maisha ni mafupi tu.
Husninyo, mzazi ni mzazi tu hata kama aliwahi kukukosea lazima wewe kama mtoto umsamehe kwani bila ya yeye (baba/mama) wewe usingekuwepo hapa duniani. Ni makosa kumtelekeza mzazi sababu tu aliwahi kunikosea kitu/mambo fulani. Jifunze kusamehe mzazi wako hata kama aliwahi kukukosea jambo kubwa maishani mwako. Atabaki kuwa baba/mama siku zote za maisha yako!
Evarm, sijakubaliana 100% na ulicho sema hapa. Kabla ya kumsamehe hakikisha mnaongea na anaomba msamaha. inategemea na kosa lenyewe ila kama alivosema Hunsy kuna watu wana roho mbaya. Mfano: mzazi mmoja ulaya alifanya party, watu walipo lewa akawaleta watoto wake sebuleni, wakawalawiti alafu wakaweka picha on a child porn site. na hapo tusamehe?Husninyo, mzazi ni mzazi tu hata kama aliwahi kukukosea lazima wewe kama mtoto umsamehe kwani bila ya yeye (baba/mama) wewe usingekuwepo hapa duniani. Ni makosa kumtelekeza mzazi sababu tu aliwahi kunikosea kitu/mambo fulani. Jifunze kusamehe mzazi wako hata kama aliwahi kukukosea jambo kubwa maishani mwako. Atabaki kuwa baba/mama siku zote za maisha yako!
hujambo Husn? Za weekend? Kutokana na post yako hii inaelekea utotoni kuna kitu kilikutokea,potezea tu,maisha ni mafupi tu.
Evarm, sijakubaliana 100% na ulicho sema hapa. Kabla ya kumsamehe hakikisha mnaongea na anaomba msamaha. inategemea na kosa lenyewe ila kama alivosema Hunsy kuna watu wana roho mbaya. Mfano: mzazi mmoja ulaya alifanya party, watu walipo lewa akawaleta watoto wake sebuleni, wakawalawiti alafu wakaweka picha on a child porn site. na hapo tusamehe?
Kama ni jukumu lako kuwapenda ni jukumu lao kukupenda pia. Kama unauwezo wa kusamee bila kuombwa msamaa anza na mzazi.Na kama kwa sababu moja au nyingine mmoja wenu alishindwa kumsamee mzazi wake/mwanae basi aombe msamaha alafu ndio maisha ya kawaida yaendelee.

its my daily routine to do something positive to my parents
sijawahi choka wala kujiuliza mara mbili...
Una roho nzuri sana kaka, ya kusamehe kabla hujaomba msamaha... Natamani kua kama wewe.RR kwa kweli case uliyoitoa hapo is hata neno la kusema nakosa. Najiuliza kama huyu bado anasifa ya kuitwa mzazi? Ila mwisho nagundua anastahili tu kuitwa mzazi
Kama ulivyosema inapaswa mzazi aombe msamaha kwa watoto kwa kile kilichotokea na ninavyoamini mimi ni kuwa matukio kama haya yatam- haunt mzazi miaka nenda rudi.....
Lakini pia (kwa matukio mengine ya kawaida) ni vema kujifunza kuweza kusamehe mzazi kabla hata hajakuomba msamaha, si kwa faida ya mzazi ila kwako binafsi
Nikupe case yangu:
Mimi nililelewa na mama pekee (labda ndiyo maana nilimuonea huruma huyu mama) na sababu ni kuwa baba alinikataa toka tumboni na alistaafu kama Luteni Kanali (hope unaelewa namaanisha nini) na ni mtu aliyekuwa na uwezo japo mimi nililala njaa na kwenda shule na nguo imetoboka na wakati wote anaponda maisha huko aliko.....
nilibeba huu uchungu na sikutaka hata kumuona ila kwa mara ya kwanza nilimuona nikiwa na miaka 25 na sikutaka hata kumsalimia lakini nilisaidiwa na mtu kusamehe hata kama hajaomba msamaha na nilichukua hatua hiyo na baada ya miaka miwili (2) baadae ndio niliweza kumsamehe na mimi mwenyewe kumpigia simu na kumwambia nimekusamehe kwa yote (maana nilijiapizia siwezi msamehe hata Mungu anivunje nyonga kunishinikiza) na mambo yako vizuri, NAJISIKIA VIZURI NA AMANI NA YEYE PIA ANAJISIKIA VEMA...
ninachotaka kusema hapa ni kuwa wakati mwingine you have to start wewe uliyekosewa na mzazi and finally it will work out vizuri kabisa.........KAMA AKIONESHA NIA NA KUOMBA MSAMAHA NI VEMA LAKINI KAMA ANAJIKAUSHA KAMA KAUZU UNAWEZA TU KUMSAMEHE KWANI KUSAMEHE NI MUHIMU KWETU NA NI TIBA KWA ANAESAMEHE PIA
Note: Kwa mawasiliano yangu na huyu kijana jioni hii ni wale tu wanaonogewa na mji na kusahau wazazi na sio kwamba mzazi anatatizo
Huyo mzazi aliwafanya nini watoto wake hadi wamemtelekeza.
Usiangalie upande mmoja na kulaumu.
Kuna wazazi wanaishi na watoto wao utafikiri hawajawazaa wao.
Una roho nzuri sana kaka, ya kusamehe kabla hujaomba msamaha... Natamani kua kama wewe.
ntakuchapa,acha uchakajuaji!sijambo bishanga. Ni kweli na nilishapotezea. Namtafuta TF umemuona wapi?
ntakuchapa,acha uchakajuaji!
Kwa sasa nipo kampala,nimefikia sheraton,kwa mbaaaaaaali namwona TF amekaa na SL wanapata breakfast.We ulie tu ila angalia usife na kijiba cha roho.