October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Wahuni sio watu. Wajua hali haitabiriki. Wameandaa mpango wa kumtelekeza mateka wao. Tayari ajua ameingia kwenye kumi na nane za wahuni. Hajui atokeje. Walahi hii mambo hii yachekesha. Na bado
Mwamba njoo ili nawewe utekwe mambo yawe bambambamu!Halafu nikisema USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸…..huwa mnaona natania.
Huyo jamaa kaongea mengi Sana ya ukweli. Watu hawakujua tu.Mkuu taarifa yako ulibahatishaga moja tu ya Gwajiboy kuhutubia, baada ya hapo unagonga nje ya key kila mara
Hivi jeshi lake la ulinzi waliku hawapo au?
Kama yapi Mkuu..Huyo jamaa kaongea mengi Sana ya ukweli. Watu hawakujua tu.
Walikuwa wameficha bomu kwenye boksaWahuni sio watu. Wajua hali haitabiriki. Wameandaa mpango wa kumtelekeza mateka wao. Tayari ajua ameingia kwenye kumi na nane za wahuni. Hajui atokeje. Walahi hii mambo hii yachekesha. Na bado
I wander😀😀😀hilo swali hata mimi bado najiuliza, enzi za H.Polepole live alikuwa anatuhadithia jinsi raisi anavyolindwa, alisema pamoja na mengine mengi kwamba raisi akilala na mwenzi wake bodyguard yuko nje ya mlango anasubiria, sasa maduro kakamatwa akiwa chumbani na mke wake, hao walinzi walipitwa vp? ...
Alikua kambi kubwa kuliko zote za jeshi Venezuela, milango ilikua blastproof..kwamba huwez kufungua hata kwa kulipua...hatujui nini kilitokea hadi CIA wafanye declassificationhilo swali hata mimi bado najiuliza, enzi za H.Polepole live alikuwa anatuhadithia jinsi raisi anavyolindwa, alisema pamoja na mengine mengi kwamba raisi akilala na mwenzi wake bodyguard yuko nje ya mlango anasubiria, sasa maduro kakamatwa akiwa chumbani na mke wake, hao walinzi walipitwa vp? ...
Na hamtokaa mjue kamwe,Alikua kambi kubwa kuliko zote za jeshi Venezuela, milango ilikua blastproof..kwamba huwez kufungua hata kwa kulipua...hatujui nini kilitokea hadi CIA wafanye declassification