Who are Tanzanian elites

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Unapo fuwatilia historia za mataifa yanaitikisa dunia kiuchumi, kitekinolojia, kiusalama na kisiasa basi nyuma ya mambo hayo wapo watu hatari wenye uwezo usio wakawaida kufanya maajabu hayo.

Swali natamani tulijadili kwa pamoja ni kujiuliza who are elites of this Nation? And what is the role they should play to change this nation?

Asante
 
Mkuu TumainiEl

Kuna vijana pale st peters

KWA miaka 12 Wana pewa mafunzo

Inaaminika mmoja wapo atakuja kupewa kitengo nyeti ILI kuuunda team ya kushughulika masuala mbali mbali ya kitaifa Nadhani hao ndio replacement ya kina mahiga,kombe na nk.

TUSUBIRI katiba mpya itasaidia wenye nchi ku manage uchumi wa nchi kuliko ilivyo Sasa uchumi umeachiwa Wana siasa!

SOURCE: Tumia akili.
 
Unapo fuwatilia historia za mataifa yanaitikisa dunia kiuchumi, kitekinolojia, kiusalama na kisiasa basi nyuma ya mambo hayo wapo watu hatari wenye uwezo usio wakawaida kufanya maajabu hayo.

Swali natamani tulijadili kwa pamoja ni kujiuliza who are elites of this Nation? And what is the role they should play to change this nation?

Asante
Njaa imeua credibility ya wengi waliokuwa elite. Kashfa za kila aina sio kitu kizuri kwa leadership inayoonekana na hata isiyoonekana.
Sijui kama wapo....naona kama wapo walafi wasioshiba
 
Elite ina maana kubwa, wanaweza kuwa wa wizi na corruption pia, mfano Rostam ni mmoja kati ya maelites kama siyo elite namba 1 Tanzania, …
 
Prof.Kabudi also known as Prof.Majalala,His excellency pipo uzidi tu dai in ze reki.Just to mention a few of them
 
Neno elites, hasa political elites si sifa nzuri.
Kuna wengine ni technocrats...they just push buttons without really being in politics. They make the decisions even if the whole mass is against it.
Hapa kwetu wote wapo front wanaganga njaa. Wanajidanganya watarithishana madaraka sababu wana title deeds
 
Wanaondoa mloganzila kuws university Teaching hospital, wameigawa muhimbili na MOI kuwa hospital tofauti huku baazi ya idara zikihitaji kufanya kazi kwa kutegemeana. Nyerere alikuwa na akili sana.
 
Back
Top Bottom