White Party: Maana na asili yake

White Party: Maana na asili yake

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
Hii ni kwa wale walio hudhuria white party mlimani city, nikaona si Mbaya kuwapa hii habari ya historia fupi ya white party ..

=======

The White Party is the name of a number of circuit parties held annually, catering to the LGBT communities. Its name comes from the requirement that party-goers dress in all or almost all white. White Parties have taken place in Miami, New York City, Chicago, Illinois, Huntsville, Alabama, Fayetteville, Arkansas, Fort Lauderdale, Florida; Palm Springs, California; Salt Lake City, Utah; Los Feliz, California; and Montreal, Quebec, although the events are independent of each other.

In the gay community, the White Party is what is known as a circuit party, and it is just one of a hundred such events that take place around the country (and hundreds more around the globe) all year-round. There is also the Black Party in New York, the Black & Blue Festival in Montreal, Mardi Gras in Sydney, the White Party and the Winter Party in Miami, or One Mighty Weekend / GayDayS in Orlando.

Source: Wikipedia

White Party - Wikipedia, the free encyclopedia

NB: Vya kuiga vibaya jamani!
 
Kwa kuongezea tu:

LGBT
or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
 
Duh kwa hiyo hiyo niliyoisikia Mlimani City ilikuwa inahusiana na mambo kama haya? nani aliwapa kibali cha kufanya hivi vitu?
 
Kwa kuongezea tu:
LGBT
or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.
Midomo ya "Watanzania" kwa kulonga ni HATARI.Tuna vipaji sana vya CHUKI,UMBEYA,MAJUNGU,UVIVU etc.Tunalazimisha mtu fulani AISHI KAMA TUNAVYOISHI SISI(Maana ndo tunaamini ni sahihi)lakini siyo sisi kuwa kama wao. "Ukiwa masikini unahangaika utaambiwa HUWEZI Kutoka hata siku moja.Ukitoka utaambiwa UTASHUKA tu maana kuna watu walishuka na wewe ulishuka,Ukikomaa kutoshuka utaambiwa hata UWE MAARUFU na TAJIRI_UTAKUFA TU.Binafsi huwa nashindwa kujua maisha ya watu wengine tena hayana athari kwako yanakuchukizaje.Where do you get time to hate somebody?
 
xfactor

Either ways. Nadhani Maana ni nyingi sana, na kama ambavyo wao walifanya kisha wakaaminisha kila white party itakuwa na maana hiyo au vyovyote vile, basi hata sisi tunaweza kuwa na white party pasiwepo na gay wala lesbiana wala kuwa na maana ya aina yeyote,

bali tuu tumeamua kila Mwanaume avae Moka Nyeupe, au hata wakivaa nguo nyeupe pia, but dhima hasa iwe kwenye kuvaa na kupendeza pamoja na kucheza mziki, bila kuwa na aina yeyote ya Ushoga ama Usagaji.

Sio Lazima maana yao ikawa sawa na yetu, na sio kweli kila white party maana yake ni sawa na hao mnaosema walianzisha white party.
 
Last edited by a moderator:
Midomo ya "Watanzania" kwa kulonga ni HATARI.Tuna vipaji sana vya CHUKI,UMBEYA,MAJUNGU,UVIVU etc.Tunalazimisha mtu fulani AISHI KAMA TUNAVYOISHI SISI(Maana ndo tunaamini ni sahihi)lakini siyo sisi kuwa kama wao. "Ukiwa masikini unahangaika utaambiwa HUWEZI Kutoka hata siku moja.Ukitoka utaambiwa UTASHUKA tu maana kuna watu walishuka na wewe ulishuka,Ukikomaa kutoshuka utaambiwa hata UWE MAARUFU na TAJIRI_UTAKUFA TU.Binafsi huwa nashindwa kujua maisha ya watu wengine tena hayana athari kwako yanakuchukizaje.Where do you get time to hate somebody?

Siioni sababu ya wewe kuja na povu kiasi hicho.

Naona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, au na wewe ni walewale?

Nisome tena, mimi nime define tu maana ya LGBT nnauhakika si wengi wanaoelewa maana yake:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kwa kuongezea tu:
LGBT
or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.

Hizi tabia za kuiga mambo. Ni hatari sana, yani sisi wa Tanzania kila kitu tunaiga tu hata bila kujua maana yake.

Mghosi
 
Watu wangeuzwa mashoga bila kujijuwa , Hamuezi kushi kwa amani na utamaduni wenu mpaka muwafate wao na uchafu wao ' either you are with as or you are against us "
 
tehteh..all white everything
 
Nisome tena:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Siioni sababu ya wewe kuja na povu kiasi hicho.

Naona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, au na wewe ni walewale?

Nisome tena, mimi nime define tu maana ya LGBT nnauhakika si wengi wanaoelewa maana yake:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kwa kuongezea tu:
LGBT
or GLBT is an initial that stands for lesbian, gay, bisexual, and transgender.

Bi.Mkubwa shikamoo!Huyo ni kati ya Walioenda Shule Kusomea Ujinga.Just ignore him!Kwa hilo tu nimemdharau haswa!
 
Hii ni kwa wale walio hudhuria white party mlimani city, nikaona si Mbaya kuwapa hii habari ya historia fupi ya white party ..

=======

The White Party is the name of a number of circuit parties held annually, catering to the LGBT communities. Its name comes from the requirement that party-goers dress in all or almost all white. White Parties have taken place in Miami, New York City, Chicago, Illinois, Huntsville, Alabama, Fayetteville, Arkansas, Fort Lauderdale, Florida; Palm Springs, California; Salt Lake City, Utah; Los Feliz, California; and Montreal, Quebec, although the events are independent of each other.

In the gay community, the White Party is what is known as a circuit party, and it is just one of a hundred such events that take place around the country (and hundreds more around the globe) all year-round. There is also the Black Party in New York, the Black & Blue Festival in Montreal, Mardi Gras in Sydney, the White Party and the Winter Party in Miami, or One Mighty Weekend / GayDayS in Orlando.

Source: Wikipedia

White Party - Wikipedia, the free encyclopedia

NB: Vya kuiga vibaya jamani!

Kweli vya kuiga ni laana ya hatari!
 
Back
Top Bottom