white party in london,wabongo wanauza sura...

Acha mija dada zetu iuze sura huko majuu, hili linchi limesha uzwa wajemeni, mnataka mpaka itangazweee!! ebooh!!
 
ni kosa gani kwenda paty mara moja moja inapotokea?watu hapo bongo mnastarehe jumatatu mpaka jumatatu hatusemi,watu wanalewa mpaka muda wa kufanya kazi hamna anayepiga kelele,mnashinda kwenye ma-club na madansi usiku kucha hatusemi,mchana mkienda lunch mnalewa mkirudi makazini mnaishia kuomba rushwa na kutukana watu wanaohitaji huduma maofisini hatusemi.watu wameenda tu white party basi wanauza sura,wazee,wanafagia barabara etc,wabongo tuacheni uchawi na roho za kwanini mnakera sana.:shut-mouth::angry:
 
Waache wale maisha london lakini wakirudi bongo wanakuwa wanyongeee, maana walioko bongo wanapiga hatua
 
Nionavyo mie hapo hapauzwi sura kinacho Tangazwa ni hayo makalio kwa sura ndani ya London wengi wao waliokuwepo hapo wanaelewa hilo watachuna ngozi za uso kufanya kila wafanyavyo lakini wanaijuwa nafasi yao ipo wapi lakini basi inapokuja makalio wanatizamika kiasi fulani
 
Back
Top Bottom