Bukayo jr JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 2,782 Reaction score 1,647 Oct 11, 2012 #1 Kitakachokatiza hapo halali yao View attachment 67802
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Oct 11, 2012 #2 hawa wanapatikana kwenye mito..! ha hua wanapandaga miti hawa.. ni wapole sana kama rangi yao ilivyo ila sio wapole kiiivyo..!
hawa wanapatikana kwenye mito..! ha hua wanapandaga miti hawa.. ni wapole sana kama rangi yao ilivyo ila sio wapole kiiivyo..!
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,467 Reaction score 1,238 Oct 11, 2012 #3 wapo for real au ni editing tu?maana nahisi simba wanapatikana Africa tu,je hawa weupe wanapatikana sehemu gani?
wapo for real au ni editing tu?maana nahisi simba wanapatikana Africa tu,je hawa weupe wanapatikana sehemu gani?
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Oct 11, 2012 #4 Rangi yao kama ya simba mla yanga.
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Oct 11, 2012 #5 philipo kidwanga said: Rangi yao kama ya simba mla yanga. Click to expand... Unawatafuta watu uchokoziee??
philipo kidwanga said: Rangi yao kama ya simba mla yanga. Click to expand... Unawatafuta watu uchokoziee??
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Oct 11, 2012 #6 Bila uchokozi hakuna ladha ya mpira, ila simba inatisha.
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Oct 11, 2012 #7 philipo kidwanga said: Bila uchokozi hakuna ladha ya mpira, ila simba inatisha. Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Yanga wanacheza mpira kwenye facebook na magazetini tu???
philipo kidwanga said: Bila uchokozi hakuna ladha ya mpira, ila simba inatisha. Click to expand... Kwahiyo unataka kusema Yanga wanacheza mpira kwenye facebook na magazetini tu???
N Nyakipambo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 435 Reaction score 141 Oct 11, 2012 #8 Hawa Simba weupe wanapatikana africa tu hasa Africa ya Kusini kwingine kote waliwachukua toka Africa ya Kusini White lion - Wikipedia, the free encyclopedia
Hawa Simba weupe wanapatikana africa tu hasa Africa ya Kusini kwingine kote waliwachukua toka Africa ya Kusini White lion - Wikipedia, the free encyclopedia
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 603 Oct 11, 2012 #9 Facilitator said: Kwahiyo unataka kusema Yanga wanacheza mpira kwenye facebook na magazetini tu??? Click to expand... mi najua unajua ila unataka tu wakasirike na siku hizi kukiwa hakuna mipira ya kurusha twite hachezi vizuri maana kwayo ndio amesajiliwa.
Facilitator said: Kwahiyo unataka kusema Yanga wanacheza mpira kwenye facebook na magazetini tu??? Click to expand... mi najua unajua ila unataka tu wakasirike na siku hizi kukiwa hakuna mipira ya kurusha twite hachezi vizuri maana kwayo ndio amesajiliwa.
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Oct 11, 2012 #10 philipo kidwanga said: mi najua unajua ila unataka tu wakasirike na siku hizi kukiwa hakuna mipira ya kurusha twite hachezi vizuri maana kwayo ndio amesajiliwa. Click to expand... Si naskia twite alikuwa fundi wa draft na karata mpk akamfunga riz1?? Kupewa shavu ndo akapewa kandarasi yanga.
philipo kidwanga said: mi najua unajua ila unataka tu wakasirike na siku hizi kukiwa hakuna mipira ya kurusha twite hachezi vizuri maana kwayo ndio amesajiliwa. Click to expand... Si naskia twite alikuwa fundi wa draft na karata mpk akamfunga riz1?? Kupewa shavu ndo akapewa kandarasi yanga.
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Oct 11, 2012 #11 Facilitator said: Kwahiyo unataka kusema Yanga wanacheza mpira kwenye facebook na magazetini tu??? Click to expand... marais africa mashariki na kati wanawajua sana hawa yanga, mpaka wanawalika
Facilitator said: Kwahiyo unataka kusema Yanga wanacheza mpira kwenye facebook na magazetini tu??? Click to expand... marais africa mashariki na kati wanawajua sana hawa yanga, mpaka wanawalika
calculator JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 279 Reaction score 137 Oct 11, 2012 #12 Facilitator said: Si naskia twite alikuwa fundi wa draft na karata mpk akamfunga riz1?? Kupewa shavu ndo akapewa kandarasi yanga. Click to expand... Wewe facilitator, unatawatafuta watu uchokoziee
Facilitator said: Si naskia twite alikuwa fundi wa draft na karata mpk akamfunga riz1?? Kupewa shavu ndo akapewa kandarasi yanga. Click to expand... Wewe facilitator, unatawatafuta watu uchokoziee
Jiwe Linaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,736 Reaction score 2,139 Oct 11, 2012 #13 wasije kuwa simba wa kichina.....
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,783 Oct 11, 2012 #15 snochet said: wapo for real au ni editing tu?maana nahisi simba wanapatikana Africa tu,je hawa weupe wanapatikana sehemu gani? Click to expand... Jiwe Linaloishi said: wasije kuwa simba wa kichina..... Click to expand... Jiwe Linaloishi . snochet kashengo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
snochet said: wapo for real au ni editing tu?maana nahisi simba wanapatikana Africa tu,je hawa weupe wanapatikana sehemu gani? Click to expand... Jiwe Linaloishi said: wasije kuwa simba wa kichina..... Click to expand... Jiwe Linaloishi . snochet kashengo
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,134 Oct 11, 2012 #17 Maalbino hayo
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 12, 2012 #18 wadhunguuuuuuuuu
Sekema Member Joined Nov 25, 2012 Posts 55 Reaction score 12 Dec 27, 2012 #19 Jiwe Linaloishi said: wasije kuwa simba wa kichina..... Click to expand... Jiwe utakuwa hujakosea maana hata mimi nahisi vivyohivyo maana mchina anatisha sana ktk nyanja za uchakachuaji!!
Jiwe Linaloishi said: wasije kuwa simba wa kichina..... Click to expand... Jiwe utakuwa hujakosea maana hata mimi nahisi vivyohivyo maana mchina anatisha sana ktk nyanja za uchakachuaji!!