excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
haaa haaa kaimba squizer yule kaka wa dataz. ila sitaki zawad.
hahahaaa!! we kweli una kumbukumbu!
jibu na huu..!!
empire state of mind.. kaimba nani na nani??
ukipata huu utakuwa mzuri!!
haaa haaa kaimba squizer yule kaka wa dataz. ila sitaki zawad.
miss chagga mama labda tufanye group discussion maanake hata mi nimetoka kapa.please you and utafiti cam zis way tuunde group tudiscuss ili tuelewe.
hata discusion itanisumbua nitakuwa e,mpty in my head labda tubadili mada
Kombolela je ....??????
hapo sawa alafu tukikimbia sisi haturudi tumacheza mchezo wa baba na mama huko huko
tunaenda kupumzika kidogoAisee una akili wewe .....
Tena tukimaliza kucheza mchezo wa baba na mama tunaacha na komboilela ...!!!!!!!!!
tunaenda kupumzika kidogo
Ni kweli maana ule mchezo unachosha sana
Si unajua tena kujipikilisha na hasa wakati baba na mama wanalal ....!!!!!!
Hupendi mimi nikitaka??
Kutaka ndio mpango bana
Na kulala kunachosha au hujui??
kulala hakuchoshi ukitaka mi sipendi nakupa tu kwa sababu umetaka
Sasa utajuaje kama nataka??
nikiona unaenda maeneo yale najua mda wa hakula ya baba umefika
Mbona sasa hivi nataka na hujastukia??
ujaweka hela mezani mbona
Haya hizi hapa
![]()
![]()
Nipe sasa ....!!!!!!!!!!!!!!
lakini leo kinguo nguo hizo najua utakuja kuchukua badae
Aisee naipendaga sana ya kinguonguo ..........
Hizo ni zako bana nimekupa ......!!!!!!!!!!