Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
aya asantee basi twende nataka mikafungue duka
Haya .....................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
aya asantee basi twende nataka mikafungue duka
hata discusion itanisumbua nitakuwa e,mpty in my head labda tubadili mada
goodest idea mwayego em cam zis wei siye tujadili topic zetu nyingine.
akitongoza hivyo awezi pata hata wa kupiga na kuondoka .....haya sasa mliokuwa mnatafuta maujanja ya kutongoza...mkashindwe tena.
hii staili mpya ya utongozaji...expiriensi ze diferensiakitongoza hivyo awezi pata hata wa kupiga na kuondoka .....
hii staili mpya ya utongozaji...expiriensi ze diferensi
aya nakuja we tangulia tengeneza mazingira me nakuja
Mnataka kufanya nini nyie??
discussion + practicle
Mnataka kupractice nini??
WADAU HII INAITWA LUGHA YA KUDIZAINI 'WEB SITE' WEB DEVELOPMENT AU (CODING)
KWA KUTUMIA HTML YAANI (Hyper-text mark-up language)
JE UNATAKA KUPATA JAPO KIDOGO SIRI YA HII KITU?
Hii ni elimu ndefu, pana na inayohitaji utulivu kuifahamu,
Ngoja nikupe mwanga:
1.Fungua notepad (Ni program ya ku-edit maneno yaani text-editing program)
Unaipataje>> Fungua Programs>Accesories>Notepad.
2.Copy kisha paste code ifuatayo yenye rangi nyekundu kama ilivyo yaani chini hadi juu maneno yote na hizo alama nyingine ambazo kama huelewi unaweza ukadhani hazina maana yoyote lakini kwenye hii elimu ni muhimu na ni sehemu ya hiyo coding tunayoizungumzia:
TUNAJARIBU
JAMII FORUM NDIO SISI
Tunajifunza lugha na namna ya kutengeneza mtandao
3. Save hicho ulichokipaste kwenye notepad yako lakini jina la hilo file lako liwe na extension ya 'htm'.
Unaweza kulifunga na (" ") yaani mfano ulilipa file jina la jamii inakuwa "jamii.htm" basi.
Na kumbuka hilo file utali-save popote utakapopenda na ambapo nirahisi kukumbuka ukilihitaji file lako kwaajili ya kulifungua.
Na ili kurahisisha zaidi kwa wewe unaejifunza li-save kwenye desk top.
4.Uone maajabu sasa,
Baada ya ku-save fungua browser yako unayotumia kwa internet yaani Internet explorer au Firefox Mozilla kama vile unataka uingie net, lakini badala yake wewe kutafuta sites,Nenda open existing file (Au gonga CTRL+O)
Utapata option ya kutafuta file unalotaka kufungua, Nenda desk top na locate file lako ulilo-save punde yaani jamii.htm ambalo huku litasomeka 'jamii'
Kisha lifungue(Yaani double click au open file)
MATOKEO;
Kama umefuata maelekezo vizuri, utaona maneno haya tu 'JAMII FORUM NDIO SISI' katika bold na'Tunajifunza lugha na namna ya kutengeneza mtandao' yakiwa katika lower case na katika plain page yao pekeyao.
Hiyo sasa ni web page na yapo mambo mengi yanaweza kufanyika kuiongeza kuiboresha na kuipendezesha.
Lakini kwa kuanza hapa panatosha.
HII NDIO INAITWA CODING KATIKA WEB DESIGNING AND WEB DEVELOPMENT.
ANGALIZO:Si kitu rahi sana kujifunza lakini penye nia pana njia.
Nawakilisha.
Hakuna kinachohusiana na mtu yeyote hapo, wala hakuna mtu alietajwa ndani ya script yake,Ingekuwaa vizuri zaidi ukatuelewesha anasemaje hapo kwenye thread maana kamuita White girl
hata kwako???dont try this at ure street u will get nothing