ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Rafiki yangu Mkumbo heshima mbeeeele kama tai kwanza kwako na kwa mwenzetu Zitto Zuberi Kabwe. Ila tu nikutahadharishe mkuu; huyu Zitto umuonaye wala si yule wa wakati ule wa harakati za kweli na wala usipoteze muda wako kwani hatuwezi kumpata tena.
Hakika tumempoteza mpiganaji kwa kujichagulia kujiunga na manyang'au wa uchumi wa nchi hii kwenda kuficha Uswisi.
mie ndio wa kishua...aka kiboko yenu
Hivi kwanini jamii inachukulia kama kubadili msimamo ni weakness? Mtu anaweza kubadili msimamo baada ya kupata taarifa zaidi juu ya swala husika, na hilo ni jambo jema na lenye manufaa.
Cha msingi ni mtu aliyebadili msimamo kutoa sababu ya kubadili msimamo na hivyo basi mijadala ielekezwe kwenye uzito au wepesi wa hiyo sababu.
Kuhusu Zitto - anachohubiri Zitto sasa hivi kuwa kinachohitajika zaidi ni transparency sio kitu kipya Tanzania. Labda tukumbushane tu kuwa katika awamu ya tatu serikali ilikuwa na kauli mbiu ya UWAZI NA UKWELI. Zitto alichobadilisha ni lugha tu lakini anazungumzia uwazi na ukweli uleule aliouhubiri Rais Mkapa. Sasa kila mtu apime mwenyewe kama uwazi na ukweli wa awamu ya tatu ulifanikiwa kudhibiti ubadhilifu wa mali ya umma. Kama jibu ni ndio basi Zitto anapigania kitu sahihi, kama jibu ni hapana basi Zitto anaelekea siko (kwa makusudi au kwa kutojua: I dont know!).
basi mie kiboko yako zaidi
maana hata nilikuwa sijui hata kama kuna ID kama hii wakati weye wajua hata nachopenda.
Sikujua mie 'supastaa' wako
asante kwa kujali sana uwepo wangu.
Kuna member mmoja anaitwa Vivian, ukisoma signecha yake itakusaidia siku za usoni.
Naona Zitto anatafuta mbinu ya Julias Marema maana amepoteza supporters wengi kwenye chama chake
Stuka dume hilo ila linabadilika kutokana upeporudi tu chichat bidada,uku hupawezi...
Look here mister. hii tabia ya kusema tunawahitaji hawa wawekezaji zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji ndio inatufanya kuingia mikataba mibovu; gesi na mafuta yetu yasipochimbwa kwa terms zitakazotunufaisha sisi , hiyo gesi na mafuta kwani yataoza? Gesi na mafuta sio kama nyanya za Ilula!! Lazima tusimame imara kulinda maliasili ya nchi yetu kwa faida yetu na vizazi vijavyo; Acheni akili ya mkweree ya kuuza nchi na wanyama wetu bila kufikiria wajukuu zake watafaidika vipi baada ya yeye kwenda kwa muumba wake!!
I dont wanna believe that I am such a lazy reader,the only reason I am going back to try and re-read this thread is the interesting comments I am seeing from others....but honestly, It could have been better arranged!
Watu wanamchukia Zitto bila sababu yoyote ile
but the key points, in doing something is the end result of that activities or mission.Moja ya matatizo yetu kama nchi na wananchi ni kuchukia watu wanaofikiri tofauti. Tumezoea mazoea; ukiona mtu anaenda tofauti na mazoea tunaanza kumpa majina kibao: kanunuliwa, msaliti, anajipendekeza, hana ushirikiano, n.k.. Lazima tubadilike na kujua kwamba binadamu tu tofauti kimwili, kiakili na kila kitu. Ili tutoke hapa tulipo lazima turuhusu akili zifikirii sawasawa na tena tuhangaike kufikiri kitofautitofauti. Kama tunataka kila mtu afikiri kama sisi ni kuendeleza utamaduni wa kutumia akili za kuazima. Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, n.k. Tunamtia moyo aendelee kuhangaika kufikiri, wapo watakaomuelewa.
He even said in his BBC interview that he has very good plans but people in high places wouldn't let him implement thembut the key points, in doing something is the end result of that activities or mission.
now as a country we are having the so called dubious mining , gas exploration etc etc contracts. and we want to move away from this. A lot of action have or are to be taken to address this anomaly, one is to review the contracts, but zzke says no, we should put the said contract in the public domain, second will it change the said contracts to be good?, alternatively is to review them, while we are awaiting to change the law to allow the said contracts to be made available to the public, and Prof has gone even further by suggesting that the revenue from this gas contracts should not go to the treasury pool so that wananchi could see the end results of the monies accrued from this projects.
Moja ya matatizo yetu kama nchi na wananchi ni kuchukia watu wanaofikiri tofauti. Tumezoea mazoea; ukiona mtu anaenda tofauti na mazoea tunaanza kumpa majina kibao: kanunuliwa, msaliti, anajipendekeza, hana ushirikiano, n.k.. Lazima tubadilike na kujua kwamba binadamu tu tofauti kimwili, kiakili na kila kitu. Ili tutoke hapa tulipo lazima turuhusu akili zifikirii sawasawa na tena tuhangaike kufikiri kitofautitofauti. Kama tunataka kila mtu afikiri kama sisi ni kuendeleza utamaduni wa kutumia akili za kuazima. Zitto ni miongoni mwa watu wachache hapa nchi aliyeamua kujipambanua na kuamua kufikiri kitofautitofauti. "Kosa" lake ni kwamba ameamua kuacha kufanya mambo kwa mazoea na ameamua kuhangaika kufikiri kitofautitofauti. Zitto analaaniwa kwa kudiriki kwake kuhangaika kufikiri na kuachana na mazoea. Atabambikizwa majina yote ya ovyo kama usaliti, kujipendekeza, n.k. Tunamtia moyo aendelee kuhangaika kufikiri, wapo watakaomuelewa.