In between these free mail services providers GMail, Yahoo Mail and Hotmail, who do you think has the best spam protection (and secure) and why? Have you ever tested the rest?
In between these free mail services providers GMail, Yahoo Mail and Hotmail, who do you think has the best spam protection (and secure) and why? Have you ever tested the rest?
Tatizo ni kwamba mimi situmii kusoma emails zangu direct kwenye browser kwa muda mrefu sasa... Nime install mail client (incredimail plus version) ambayo inabeba account zote za mail nilizonazo (yahoo, gmail, hotmail na baadhi za pop3 za kiofisi), sasa hii client inatoa special spam protection direct (built in antivirus) ambayo inasafisha kwelikweli na spam zinazonaswa kwa account zote hazitofautiani sana na nimeona tofauti kubwa ya kukamata kwa spam hizi ukilinganisha na wakati natumia browser direct..zilikuwa zinanisumbua sana enzi zile (kwa account zoe za gmail, yahoo na hotmail)
...mara nyingi nilikuwa nafungua emails ambazo ni virus/spam lakini hazija chujwa kama spam kwenye account..lakini sahizi nina uhakika na inbox zangu zote na ikija spam unakuta ni spam kweli na haikatizi kwenye inbox...!!
Kwa experince yangu Gmail wako njema kulikohao wengine . Why?
nimeobserve some span zinaingia direct kwenye box kwenye yahoo lakini atleast gmail inajitahidi. But strict rules za gmail zake pia zinaweza kuwa kikwazo Sometime email isiyo a tatizo inawekwa kwenye kapu la spam. Hasa ukifanya subsriscription kwenye tovuti mbali mbali. Lakini 90% ya spam detection yao iko sahihi.
Pia Gmail inakupa control ya kufanya filter mwenyewe. Anyway sijachunguza yahoo siku nyingi kama na yeneywe inaweza kumpa user control ya account yake kiasi kikubwa kama gmail.
So to me Gmail iko poa tatizo naloona kwa Gmail ni user interface (UI) yao . I ike Yahoo Mail UI