which one is the way foward???


usiku mwema mkuu,
 
Kulalamika muda mrefu haiondoi uhalali na uzito wa hoja za wapinzani dhidi ya Tume, Polisi na Mahakama kufanyia rafu upinzani.
 
hahahahaahhahah unapenda kuimagine eeh,nimekuvulia kofia mkuu,eti becky mwenyekiti wa chama,! labda cha kuku na bata,hahahahaha
Teh teh teh, jiamini mama elimu mnayopata darasani ndio hiyo hiyo tunaipata wanaume, huyo hapo mama Anna Mghwira kajipindua mwenyewe tu pengine chama chao kingekuja kupata nguvu huko mbele ya safari na kuja kuwa kiongozi mkubwa tu wa chama chenye nguvu ya ushawishi kwa umma.
 
Vyama vya upinzani vilivyopo vinatosha sana, hakuna uhitaji wa utitiri zaidi wa vyama, tatizo lililopo ni ccm kutotaka demokrasia kuchukua mkondo wake

mkuu kama tatizo ni demokrasia kutoka serikali ya CCM,why bother kuwa na chama cha upinzani at all,???ilhali wakijua hakuna watakalofanya litalobadilisha ushindi wa CCM?

for more than 25 years,je tatizo ni hilo hilo la kukosekana kwa demokrasia au kuna mengine,

kama wameweza ku identify moja ya sababu ya kukosa ushindi ni kukosekana kwa demokresia,then what do they do about it?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…