Which is the best CMS open source application ?

Which is the best CMS open source application ?

baldin

Senior Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
185
Reaction score
41
Habari zenu wakuu!

Open source tool gani ya kudesign website ipo poa wakuu kwa anayefahamu na mwenye uzoefu nazo, nimejaribu wordpress , joomla majanga ya plugin yamekuwa yakinikera, drupal nayo zito.

Nimebakia kuandika code kwenye notepad ++ nahitaji kutumia tools ili kukimbizana na time. nishauri nitumie open source tools gani ambayo ipo effective.​
 
cheki silverstripe ndio mpinzani wa wordpress, pamoja na hio wordpress yenyewe hizi cms mbili ndio narecomend sana kama unataka kazi ya haraka.

pia inaonekana hujafanya research ya kutosha na huna subira maana plugins ndio zenyewe linapokuja suala la kusave mda. cms kama wordpress unaweza tengeneza site ikaisha bila kutumia plugins lakini ukitaka kukamilisha kitu fulani kwa haraka ndio unatumia plugin.

kaka unatakiwa ujitambue mwenyewe upo vizuri kwenye nini then uchague tools zako kiuhakika. kama unajua sana image design kuna tools unatengeneza site na photoshop then unaiport kwenda wordpreas au kama hujui code at all zipo app kama artisteer zitakamilisha kazi mapema tu
 
Kama una knowledge nzuri ya php ningekushauri Drupal 7 iko flexible nimeitumia kutengeneza website nyingi za organization kubwa.

My Current project: http://www.ufh.ac.za/EN/ hii ni website naitengeneza ya chuo nilichokuwa nasoma south africa, ukiiangalia hautaamini kama ni drupal until you go to the source code.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom