Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Wakuu kesho kuna hii device naenda kumnunulia dogo vipi ni nzuri kwa waliotumia..
Nokia Lumia 820
Cc Chief-Mkwawa
windows phone kwake haisumbui? na unainunua kwa sh ngapi?
weakness kubwa ya lumia 820 ni battery ndogo na kioo chenye resolution ndogo. ila ni simu moja nzuri sana kwa geeks sababu
1. ina soc yenye nguvu snapdragon s4 kwa hio resolution hii soc ni very powerfull
2.ina 4g inakubali kwa Tigo na TTCl
3. ram 1gb na internal 8gb na sd card kadri utakavyoweza na wp inainstall almost kila kitu kwa sd card
4. cover zake ni za kuchomoka kirahisi na zinakubali wireless charging hivyo ukibahatika kuipata charger ya wireless unaweza enjoy new experience
5. itapata windows 10 update.
hardware wise pengine ni simu nzuri kuliko zote utakayopata kwa budget yake ila software hakikisha kama ataipenda ila kama ni mtoto mdogo ambae unamchunga windows phone ni perfect.
Samahani mkuu, natumia wp 620 ila sasa kinachonisumbua ni screen ndogo. Ni ipi windows phone ambayo ina kioo kikubwa cha size inayo support 4g na itakayopokea windows 10?
kioo kikubwa sana zaidi ya inch 5.5 kuna lumia 1320, 1520, 640xl
vioo vikubwa kawaida lumia 830, 730, 640, 540, 535, 930, 625,
vikubwa kidogo kuna lumia 820, 920, 1020, 720, 925,
Pia pitia PhoneArena au GSMarena
Asante Mkuu nimeona kumbe mpaka nigusishe kioo kwenye ngozi ndo inazimainayo sensor inaitwa sensorcore kutest piga hata 100 then eka kiganja cha mkono kwenye kioo kizibe utaona mwanga unazima nao.
cpu yake nzuri ila hio simu ina gpu mbovu sana ambayo haina hadhi ya flagship, kuna simu za around $150 zinaipita mate 8 kwa gpuhuawei mate 8 iko poa sana
Hizi machine ziko safi, ila Kwa sasa bongo hazipatikani.Nahitaji zenfone 5, kwa anaejua wapi zinapatikana anijulishe?
bei ya huyo giant lumia 1520 kwa sasa yaweza kuwa sh ngapi? vipi kuhusu upatikanaji wake. asantekioo kikubwa sana zaidi ya inch 5.5 kuna lumia 1320, 1520, 640xl
vioo vikubwa kawaida lumia 830, 730, 640, 540, 535, 930, 625,
vikubwa kidogo kuna lumia 820, 920, 1020, 720, 925,
iPhone 6sIphone 7
simu ya zamani huwa haina fixed price ni wewe tu mwenyewe utakavyohangaika pengine around 500,000 hadi 700,000 hivi.bei ya huyo giant lumia 1520 kwa sasa yaweza kuwa sh ngapi? vipi kuhusu upatikanaji wake. asante
Vipi specification za huawei ascend mate 8, pamoja na bei yake