Yaani mtoamada unataka nirukevipi kutoka hapa tecno m3 hadi huko sijui nekisaz au galakisi ama aifoni ama sijui hechitiisii ,subiri kwanza nifikie kwenye huwei bwana
Yaani mtoamada unataka nirukevipi kutoka hapa tecno m3 hadi huko sijui nekisaz au galakisi ama aifoni ama sijui hechitiisii ,subiri kwanza nifikie kwenye huwei bwana
zipo leaks za hapa na pale ila bado hakujakuwa clear nokia wanakuja na nini. so far ni hii camera ya Virtual Reality ambayo ni ya kwanza duniani
NOKIA OZO
camera hio inachukua nyuzi 360
ukiangalia microsoft hadi sasa hawana simu ya camera na nokia ametoa OZO hili linanipa imani still nokia ana tech zake na watatupa suprise muda si mrefu