Which is better, downloading or watching online?

Streaming ndio mpango mzima nowadays.
 
Kati ya kudownload na ku watch online kipi ni afadhali? i mean hakili Mega bytes nyingi?
Nipeni ujanja kabla sijaanza kufanya uamuzi.
Ni sawa....cuz ht unapoangalia online ni lazm system ya sim inload bila kusave data then ndo uone, na pia kudownload inaload na kusave mojakw moj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…