Which group is currently the best:Sauti Sol vs H_art the band

Binafsi naenjoy sana kuwasikiliza H_art the band kwa sasa

Kaka H Art ni wazuri sana ila Sauti Sol wana Vibe sana.
Kitu kingine kuhusu Sauti Sol ni kuweza kufanya Music diverse; H Art band ni kama wanaimba mhadhi ya Sweet Reggae.
 
Saut soul, the best.....ngoma zao haichuji na zina maaana,


Kuna hii ya Isabellla .... Daah
 
Acheni kushobokea bendi mbili tu, kuzeni vipaji vingi e vya muziki! Ndo maana internationally Tz tunawavuruga.
 
Back
Top Bottom