Which are the most influential IDs in Jamii Forums?

Maoni yangu juu ya hili ni kwamba mada za aina hii kwa wakati kama huu zinatuondoa kwenye lengo muhimu tulilonalo kwa sasa juu ya taifa letu.

Baadhi yetu tunaingia humu JF kwa sasa kwa lengo moja tu; hilo la kuchangia juhudi za kuiokoa nchi yetu; haya mengine hayana umuhimu wowote kwa sasa.

Nimeona mada nyingi za akina Lucas, Instinct, Choicevariable, Kavulata, na wengi wa aina hiyo. Pengine hao ndio wanaostahili kujadiliwa na kupewa hadhi wanazozistahili kwa sasa hivi humu JF.
Hawa watu wanapata wapi nguvu za kutetea utawala wa aina hii wakati kama huu.
Kwa maoni yangu, hawa ndio wanaofaa kujadiliwa kwa kina; siyo sisi tunaohangaika kutafuta njia za kuibadili hali iliyopo sasa.

Kuna viongozi wanasema "kazi ya kuwaua waTanzania ni ya kutukuka"!
 
Jamii Intelligence nimekimbia siku nyingi, mada za kule zinataka uwe huna stress ndio uzielewe
 
Kuna miamba ipo kule kwenye uzi wa dunia duara sijui proof dunia duara..

Yaani wale jamaa huwakuti katika nyuzi zingine aiseee wapo kule miaka na miaka hawatoki hata kupumzika
hateeb10
Hao jamaa kupumzika nafikiri ni mpaka dunia isambaratike,

Na kuna mwamba mmoja anaitwa Swahili AI unamkuta kwenye Uzi wa zile picha za warembo akituburudisha, humkuti popote pale humu jf zaidi ya huko
 
Hao jamaa kupumzika nafikiri ni mpaka dunia isambaratike,

Na kuna mwamba mmoja anaitwa Swahili AI unamkuta kwenye Uzi wa zile picha za warembo akituburudisha, humkuti popote pale humu jf zaidi ya huko
Huyo namjua namjua aiseee jamaa analetaga picha quality alafu na huyu SHIMBA YA BUYENZ SIJUI YU WAPI
 
Nitag kwanza nije kuuona maana unausifia tangu mwaka jana
 
Huyo namjua namjua aiseee jamaa analetaga picha quality alafu na huyu SHIMBA YA BUYENZ SIJUI YU WAPI
😁😁😁 kinachonichanganya zaidi ni huwezi kumkuta kwenye uzi wowote tofauti na ule, sijui nyuzi nyingine hazioni
 
😁😁😁 voice button ili wawahi kubishana maana kutype ni kama wanachelewa
Ndio mkuu..
Yaan ilifikia. Kipindi wakawa wanatumiana voice note hizi..
Ukikaa kidogo unakuta mwingine katuma picha kachora chora...

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Alafu ww uwende na geography ya form one et solar system adhahhah
 
Ngoja nikachungulieko kwa huo uzi pia, ni muda mrefu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…