Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,894
- 25,909
Mshana JrKuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia.
Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF.
Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact nao .
Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc
Taja wengine
Kaka ndege secretarybirdKuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia.
Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF.
Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact nao .
Najua hautakosa kuwataja secretarybird, binti wa zamani, etc
Taja wengine
Ishi milele brotherMonetary doctor zee la mipunga plus mipunga!!
Shemej yupi mzee wanguShemeji yako akiona hii comment atacheka sanaa na maji ulisahau kumuwekea bafuniπ¬π¬
Amina bruh na kwako piaIshi milele brother
Kwaio Mimi hunitajii ππβΊοΈππ
Leo upoAmina bruh na kwako pia
Wewe mshamba sana π, Hivi vina ID vya adriz kama kawaid yakeChizi Maarifa ameweza kupata na wake zake Chizi Maarifer na Chizi Msomi inaonesha ni namna gani ni mtaalam wa kushughulikia makebo yaoπ
Nipo brotherLeo upo
Sasa hv naskia yupo temeke mwisho pale anatoa semina ya upikaji wa ubuyu wa nzanzibarBila kumsahau mdogo angu Mwachiluwi
watakuiba bwana sameja wanguπKwaio Mimi hunitajii ππβΊοΈππ
Upo poa SEMEJA
Tapeli tu huyu ππ wajinga ndio wako nyuma yakeChoice variable
Upo poaa mzima wewewatakuiba bwana sameja wanguπ