RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,385
- 139,186
Come on. Miles per hour(mph)Vipimo:
mps na kph.
700kph ni kama 440mph. Thats cruising speed not take off speed.
Come on. Miles per hour(mph)Vipimo:
mps na kph.
Ndege ipo mbali na hio miti na magari.Yawezekana, changamoto ya kuamini ni hiyo miti na mbawa za ndege.
Natumia simu labda sioni vizuri.
Ok, nilizoea units of measurements vya UK na sio US. Nimekuelewa.Come on. Miles per hour(mph)
700kph ni kama 440mph. Thats cruising speed not take off speed.
Hiyo Gibrattar International Airport,
Runway yake inakatiza katikati ya mji na inatumika na magari pia.
Ingia google na hilo jina for more details and pictures.
Hiyo Gibrattar International Airport,
Runway yake inakatiza katikati ya mji na inatumika na magari pia.
Ingia google na hilo jina for more details and pictures.
P.s:Tutaharibu uziOk, nilizoea units of measurements vya UK na sio US. Nimekuelewa.
P.s: Jana Manu kakalishwa.
Gib inakatiza four-lane road.Hiyo Gibrattar International Airport,
Runway yake inakatiza katikati ya mji na inatumika na magari pia.
Ingia google na hilo jina for more details and pictures.
P.s:Tutaharibu uzi
Kuna wabishi huwa wanasombwa na treni kwenye makutano, sijui hapa inakuwaje.
Kuna wabishi huwa wanasombwa na treni kwenye makutano, sijui hapa inakuwaje.
Mbona matairi yanaonekana angalia usawa wa hiyo road sign pamoja na hiyo gari nyeupe.photoshop, ndege ikiwa level hiyo matairi yanakuwa bado yanaelea chini, ila hapo hayaonekani
km700 unazijua au unaropoka tu huo ni zaidi ya umbali wa dar kwenda arushaNa hilo dude kabla lipae linahitaji kutembea zaidi ya 700km/hr