Is this real or??
Halafu chini kuna watu wamesimama wakat hilo dude likikatza vichwan mwao sentimita chacheeeAdobe.. kwa usawa wa ndege ulipo na hali ya hewa... huo mngao kama wa jua haukistahili kuwepo....!
Na hilo dude kabla lipae linahitaji kutembea zaidi ya 700km/hrHalafu chini kuna watu wamesimama wakat hilo dude likikatza vichwan mwao sentimita chacheee
Halafu chini kuna watu wamesimama wakat hilo dude likikatza vichwan mwao sentimita chacheee
Nikumbushe, ni makao makuu ya kampuni gani?Sielewi kwanini watu wanasema ni photoshop.
Ila hii picha ni kweli kabisa.
Wavivu wa kufikiri.
Kweli kabisaphotoshop, ndege ikiwa level hiyo matairi yanakuwa bado yanaelea chini, ila hapo hayaonekani
It can't be real!Is this real or??
Sio kweli. Take off speed ya ndege kubwa ni kama 130-155knots au 150-180mph.Na hilo dude kabla lipae linahitaji kutembea zaidi ya 700km/hr
Zoom hio picha, matairi yanaonekana usawa wa gari ya silver. Hio picha ni kweli hio ndege inatua pembeni ya gari ya silver. Fence ya airport inaonekana hapo.photoshop, ndege ikiwa level hiyo matairi yanakuwa bado yanaelea chini, ila hapo hayaonekani
Yawezekana, changamoto ya kuamini ni hiyo miti na mbawa za ndege.Zoom hio picha, matairi yanaonekana usawa wa gari ya silver. Hio picha ni kweli hio ndege inatua pembeni ya gari ya silver. Fence ya airport inaonekana hapo.