Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
ERITREA speaks TIGRINYA as one of their national language
uki-hover mouse yako juu ya ID unapata kujua instantly kama yuko online au la, umedondosha comment yako as lawmaina halafu nilipojib ukalog-off, ukalog-in as mchambawima na ukajibu swali ambalo nimemuuliza lawmaina, nilipokataa ukalog-off mchambawima ukalog-in as lawmaina....bahati yako only ma-admins ndio wenye uwezo wa kuprove hii kitu. Ila mimi nimeshazoea kulumbana na ID zako at the same time, mnapokezana tu, mnadandia mijadala etc.
pili, nairobi nimeshatoka, na hata ningekuwapo sidhani kama tungekutana maana siku hizi Kagame kaanza kuteka watu in Nairobi, au hujasikia? nisije kujikuta kigali confessing to "terrorism and FDLR". Bora tukutane humu humu JF.
Duh kazi ipo, haya bwana umeshinda kwenye siasa, ila usinitoroke mimi siwezi kukudhuru, Warwanda ndio wanakutafuta wakubadilishe uwache vituko vyako vya kuwachonganisha. Na hata huku jamvini nadhani wangekua na haja ya kukushika wangelikushika zamani maana it's not enough, hujajificha sana maana unaweza fuatwa tu kwa kutumia IP address na mbinu zingine nyingi.
Bana ee, huwa kweli una kazi ngumu hadi unahangaika kuangalia nani amelogoff na nani yuko online. Haya basi wacha nikuelimishe kidogo kuhusu JF. Hii system huwa ina uwezo wa mtu ku-subscribe to topics, such that one gets alerted on any comments in a particular thread. Secondly, the system maintains sessions for those who don't want to login/logoff all the time.
Mbishi sana wewe, hivi ulitoka Nairobi ama bado uko, mie nimerudi kwa hii baridi kali ya Nairobi halafu naelekea kijijini Nyeri leo jioni. Sasa kama uko huku niambie uko wapi tule kuku.
uki-hover mouse yako juu ya ID unapata kujua instantly kama yuko online au la, umedondosha comment yako as lawmaina halafu nilipojib ukalog-off, ukalog-in as mchambawima na ukajibu swali ambalo nimemuuliza lawmaina, nilipokataa ukalog-off mchambawima ukalog-in as lawmaina....bahati yako only ma-admins ndio wenye uwezo wa kuprove hii kitu. Ila mimi nimeshazoea kulumbana na ID zako at the same time, mnapokezana tu, mnadandia mijadala etc.
pili, nairobi nimeshatoka, na hata ningekuwapo sidhani kama tungekutana maana siku hizi Kagame kaanza kuteka watu in Nairobi, au hujasikia? nisije kujikuta kigali confessing to "terrorism and FDLR". Bora tukutane humu humu JF.
maneno ya muhimu ni hapo kwenye red tu, mengine hayo wachana nayo (sauti ya kanyari)
lawmaina78, sion kwenye siasa, ni kwenye jamiiforums tu. nje ya hapa he cannot last 5 minutes.Duh kazi ipo, haya bwana umeshinda kwenye siasa, ila usinitoroke mimi siwezi kukudhuru, Warwanda ndio wanakutafuta wakubadilishe uwache vituko vyako vya kuwachonganisha. Na hata huku jamvini nadhani wangekua na haja ya kukushika wangelikushika zamani maana it's not enough, hujajificha sana maana unaweza fuatwa tu kwa kutumia IP address na mbinu zingine nyingi.