Which African Countries Speak their native language as the national language

Swaziland=Swazi (spoken by 95 % of citizens, National Language)
Lesotho = Sotho (spoken by 96 % of citizens, National Language)
Tanzania =Sukuma/Nyamwezi (spoken by 50 % of citizens, National Language for Lake Zone)

Unatuma data zipi kusema kisukuma na kinyamwezi ni lugha ya taifa??
 
angalizo: Leo ni jumapili ndio maana nina muda wa kuwajibu.

Assuming by "kwetu" you mean Rwanda as always. Okay, kabila moja ni lipi hilo, na lugha moja ni ipi hiyo. Lugha ya Rwanda ndio hiyo hiyo lugha ya Burundi. Je hiyo lugha ni native kwa nchi gani na watu gani?

Kweli jMali we ni kiboko ya uvu vumtu. Yaani hata hakuna ishu ya muhimu yeye anabwatuka tu. Kisa sababu wewe umeongea......... Yes, dozi imewaingia sasa. mzee wa sumuuuu mchambawima1 umeona dozi ya ki bongo hiyo? na bado. tulia hivyo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Lowassa ananihusu mimi miye??? Hilo swali waulize wana JF wa Arusha au piga simu CCM makao makuu!!! Mimi naishi Katavi, ukipenda niulize maendeleo ya kilimo kwanza huku kwetu.

Ni kweli mama mdogo huko sahihi kabisa
 
Kweli jMali we ni kiboko ya uvu vumtu. Yaani hata hakuna ishu ya muhimu yeye anabwatuka tu. Kisa sababu wewe umeongea......... Yes, dozi imewaingia sasa. mzee wa sumuuuu mchambawima1 umeona dozi ya ki bongo hiyo? na bado. tulia hivyo hivyo

JustDoItNow
Na wewe kwa kumshabikia JMali, mmhh! post zenu mara nyingi haziachani sana. Anyway it is just a coincidence, nifikishie message kwa JMali kuwa Kinyarwanda jopo kinataka kufanana na Kirundi they are not the same, if we qualify them to be the same then we will include also Lukiga(UG), Kiha na Kihangaza(TZ). Otherwise Kinyarwanda is a national language of Rwanda and it is spoken by all Rwandans
 
Kinyarwanda na kirundi ni lugha hiyo hiyo na ni kweli inaingiliana na kiha (namaanisha lugha ya waha wa kigoma), ingawa sina uhakika na kihangaza ila sitashangaa after all watu wote wa eneo hilo ni jamii moja iliyotenganishwa na mipaka ya kikoloni, unaweza ukakuta influence za kinyarwanda/kirundi as far as kwa wanyambo.
Labda nikukumbushe kuwa Rwanda na burundi zilikuwa nchi moja chini ya mfalme wa kitutsi zilitenganishwa shortly after mapinduzi. Nchi zote mbili zina watutsi, wahutu na watwa kwa nearly uwiano ule ule..Ni sawa na leo udai kimasai cha Tanzania ni lugha tofauti na kimasai cha kenya kisa mpaka wa sirari! Kinachobadilika ni dialect, i.e matamshi, for example mtu wa Arusha akizungumza kiswahili, mtu wa Dar atamshtukia kuwa huyu ni wa mkoani. Vile vile Tofauti ya hii lugha ya Rwanda na burundi ni hiyo tu ya matamshi as one moves away from the border between them lakini its the same language, save for a few words ambazo zimeongezeka kutokana na ule utenganisho niliokukumbushia.
 
is this you? someone must have hacked your account
 
Ungekua unaweka post kama hizi wanaJF wangenufaika, wachana na zile chuki na fujo. Hapa nimejifunza kitu.
 
za chuki na fujo kama zipi? zile za BBC documentary au?
Hapana! Za kushindwa kujieleza bila kuweka ukabila/ukanda, hata hii post yako ukiisoma vizuri utaelewa nnacho kisema, uwe unawadanganya hao hao ;wasio kujuwa.
Ila unajuwa kuzuga kweli! Unajifanya haujuwi tofauti ya Kirundi na Kinyarwanda, kweli wewe kinyonga.
 
sasa mbona unaanza kubadilisha ID tena? hizi ID zako zingine za kihunihuni huwa sizijibu labda niwe nina muda wa kuchezea. Login uendelee na ID ya kistaarabu

hahhahaha.
 
Hahaha!! kazi ipo, mchambawima1 asha faulu kukuweka sawa, hadi unabaki kuona IDs nyingi. Na jamaa huwa hakuachi.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha. sasa ulinisikiaje wakati ulikuwa umelog-off na wakati wewe sio mchambawima1? hahahaha. ehee ulikuwa unasema?

Bana ee, huwa kweli una kazi ngumu hadi unahangaika kuangalia nani amelogoff na nani yuko online. Haya basi wacha nikuelimishe kidogo kuhusu JF. Hii system huwa ina uwezo wa mtu ku-subscribe to topics, such that one gets alerted on any comments in a particular thread. Secondly, the system maintains sessions for those who don't want to login/logoff all the time.

Mbishi sana wewe, hivi ulitoka Nairobi ama bado uko, mie nimerudi kwa hii baridi kali ya Nairobi halafu naelekea kijijini Nyeri leo jioni. Sasa kama uko huku niambie uko wapi tule kuku.
 
sasa mbona unaanza kubadilisha ID tena? hizi ID zako zingine za kihunihuni huwa sizijibu labda niwe nina muda wa kuchezea. Login uendelee na ID ya kistaarabu

hahhahaha.

Aisee huyo mkenya unamuonea kweli! Angekuwa anajuwa anaongea na mtambo wa ubaguzi "Made in Belgium" hata hizo offer za kuku husingezipata.
Na bado, utazidi kuniona nuksi, mpaka siku utakapo jifunza ustaarabu! Mbaguzi wee
 
hahahaha. sasa ulinisikiaje wakati ulikuwa umelog-off na wakati wewe sio mchambawima1? hahahaha. eheer ulikuwa unasema?
Mh... Didn't know! So your now an internet clairvoyant? We Kweli kazi ipo.
Mchawi hata usimtafutie mbali! Yumo kichwani mwako, siku utakapo jifunza ustaarabu na kutumia lugha ya kueleweka bila kujenga chuki kwenye jamii basi wewe mwenyewe utashangaa jinsi ntavyokuwa nakufagilia.
 
Aisee huyo mkenya unamuonea kweli! Angekuwa anajuwa anaongea na mtambo wa ubaguzi "Made in Belgium" hata hizo offer za kuku husingezipata.
Na bado, utazidi kuniona nuksi, mpaka siku utakapo jifunza ustaarabu! Mbaguzi wee

Umenchekesha kweli!!!!!!!!!!!!
 
Bana ee, huwa kweli una kazi ngumu hadi unahangaika kuangalia nani amelogoff na nani yuko online. Haya basi wacha nikuelimishe kidogo kuhusu JF. Hii system huwa ina uwezo wa mtu ku-subscribe to topics, such that one gets alerted on any comments in a particular thread. Secondly, the system maintains sessions for those who don't want to login/logoff all the time.

Mbishi sana wewe, hivi ulitoka Nairobi ama bado uko, mie nimerudi kwa hii baridi kali ya Nairobi halafu naelekea kijijini Nyeri leo jioni. Sasa kama uko huku niambie uko wapi tule kuku.

uki-hover mouse yako juu ya ID unapata kujua instantly kama yuko online au la, umedondosha comment yako as lawmaina halafu nilipojib ukalog-off, ukalog-in as mchambawima na ukajibu swali ambalo nimemuuliza lawmaina, nilipokataa ukalog-off mchambawima ukalog-in as lawmaina....bahati yako only ma-admins ndio wenye uwezo wa kuprove hii kitu. Ila mimi nimeshazoea kulumbana na ID zako at the same time, mnapokezana tu, mnadandia mijadala etc.
pili, nairobi nimeshatoka, na hata ningekuwapo sidhani kama tungekutana maana siku hizi Kagame kaanza kuteka watu in Nairobi, au hujasikia? nisije kujikuta kigali confessing to "terrorism and FDLR". Bora tukutane humu humu JF.
 
Back
Top Bottom