Which African Countries Speak their native language as the national language

Mr. SADC_TZ

Senior Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
105
Reaction score
22
Hey guys .some day i thought Tanzania is the only country in the continent that speaks native language (swahili) as their national language.
But one of my friend proved me wrong

I just wanna know Which Africa Countries Speak their native language as the national language?

Exclude Northen Arabic Nation like Egypt, Tunisia etc.
 
Kuna namna mbili hapa...

Native Language ni "lugha ya Mama yako"..means uliyoikuta nyumbani kwenu kwenye familia yenu ulipozaliwa...kwa maana hiyo leo hii ata Kifaransa kinaweza kuwa ni native language ya Wa-Ivory Coast na Kiingereza kinaweza kuwa native language ya Msouth Africa na kama Kiswahili kinavyoweza kuwa native language ya Msukuma, hakuna tofauti hapo.

Lakini kama "native language" unamaanisha lugha ya jadi ya eneo husika, ethnic language, basi pia Kiswahili sio lugha ya asili ya kabila lolote la Kitanzania, Tanzania ina makabila 120 na makabila hayo yote yana lugha zao na sio Kiswahili, kama lipo kabila ambalo lugha yake ni Kiswahili nitafurahi kulijua.
 
kwa afrika hiyo itakuwa ngumu kwa sababu karibu nchi zote ziligawanywa vipande vipande na wazungu hivyo hakuna nchi ambayo raia wake ni wa kabila moja. maybe somalia peke yake
 
Hata kwenu, kabila ni moja! lugha moja! zinginezo ni Burundi na Somalia. na kama huamini niambie kabila lako na lugha yenu? najuwa misumu yako itasema ooh mimi mhutu(mwenye msimamo mkali) ok, lugha yenu je? utasema ni kihutu au kinyarwanda? basi kama ni kinyarwanda kaa ukijuwa ya kwamba kabila lako ni mnyarwanda, mpaka leo sijawahi kuona kabila halina lugha yake binafsi.
 
Uganda, japo official language ni English wengi wanaongea Luganda; hata wale wa North...kuna siku niliwauliza wakanambia ukikulia mjini lazima ujue hiyo lugha....ila hawajui Kiswahili

Ethiopia ndio kiboko ... maana wana mpaka sarufi zao...si hizi za kirumi
 
Hata kwenu, kabila ni moja! lugha moja! zinginezo ni Burundi na Somalia. na kama huamini niambie kabila lako na lugha yenu? najuwa misumu yako itasema ooh mimi mhutu(mwenye msimamo mkali) ok, lugha yenu je? utasema ni kihutu au kinyarwanda? basi kama ni kinyarwanda kaa ukijuwa ya kwamba kabila lako ni mnyarwanda, mpaka leo sijawahi kuona kabila halina lugha yake binafsi.

angalizo: Leo ni jumapili ndio maana nina muda wa kuwajibu.

Assuming by "kwetu" you mean Rwanda as always. Okay, kabila moja ni lipi hilo, na lugha moja ni ipi hiyo. Lugha ya Rwanda ndio hiyo hiyo lugha ya Burundi. Je hiyo lugha ni native kwa nchi gani na watu gani?
 
Swaziland=Swazi (spoken by 95 % of citizens, National Language)
Lesotho = Sotho (spoken by 96 % of citizens, National Language)
Tanzania =Sukuma/Nyamwezi (spoken by 50 % of citizens, National Language for Lake Zone)
 
Mama rejea kichwa cha thread, tunaongelea NATIONAL LANGUAGE, sio language spoken by the major tribe, kisukuma na kinyamwezi sio national language ya Tanzania.
 
Rejea andiko langu, nimesema with a light touch, kisukuma na kinyamwezi (to be more specific: Kimbu, Konongo, Nyamwezi, Sukuma, and Sumbwa) ni National Language ya Lake Zone. Kumbuka makabila haya kwa ujumla wake ni karibu 25 % ya Watanzania. Unafikiri idadi hiyo ni mchezo!!
 
ohoo, hatukuelewa your sense of humour
 
Kuna namna mbili hapa...

Native Language ni "lugha ya Mama yako"..means uliyoikuta nyumbani kwenu kwenye familia yenu ulipozaliwa...kwa maana hiyo leo hii ata Kifaransa kinaweza kuwa ni native language ya Wa-Ivory Coast na Kiingereza kinaweza kuwa native language ya Msouth Africa na kama Kiswahili kinavyoweza kuwa native language ya Msukuma, hakuna tofauti hapo.

Lakini kama "native language" unamaanisha lugha ya jadi ya eneo husika, ethnic language, basi pia Kiswahili sio lugha ya asili ya kabila lolote la Kitanzania, Tanzania ina makabila 120 na makabila hayo yote yana lugha zao na sio Kiswahili, kama lipo kabila ambalo lugha yake ni Kiswahili nitafurahi kulijua.

Kenya kunao waswahili, nilidhani pia wanapatikana Tanzania, lugha yao ni kiswahili
 
Swahili tribe sio kabila kwa maana ya kama ilivyo kwa Wakikuyu au Wasukuma, bali ni kama ilivyo Watanzania leo, "kundi nla watu wanaoongea Kiswahili kama lugha yao ya kwanza".

Hivyo group la watu mchanganyiko wanaoongea Kiswahili kama lugha yao ya kwanza katika pwani ya Kenya likiunganisha Waarabu, Wabantu, Wahindi, n.k kwa ujumla wao wakaitwa Wa-Swahili...refer: Swahili tribe is not the tribe created by distant biological lineage but are just descendants of all those who lived on the coast during the trading times a thousand years ago...
http://www.kenya-advisor.com/swahili-tribe.html

Kuna namna mbili hapa...

Native Language ni "lugha ya Mama yako"..means uliyoikuta nyumbani kwenu kwenye familia yenu ulipozaliwa...kwa maana hiyo leo hii ata Kifaransa kinaweza kuwa ni native language ya Wa-Ivory Coast na Kiingereza kinaweza kuwa native language ya Msouth Africa na kama Kiswahili kinavyoweza kuwa native language ya Msukuma, hakuna tofauti hapo.

Lakini kama "native language" unamaanisha lugha ya jadi ya eneo husika, ethnic language, basi pia Kiswahili sio lugha ya asili ya kabila lolote la Kitanzania, Tanzania ina makabila 120 na makabila hayo yote yana lugha zao na sio Kiswahili, kama lipo kabila ambalo lugha yake ni Kiswahili nitafurahi kulijua.

Duh!! asante sana kaka, nimehangaika sana kueleza hiki kitu humu JF ila jamaa wengi huwa wagumu sana kuelewa chochote.
 
Swaziland=Swazi (spoken by 95 % of citizens, National Language)
Lesotho = Sotho (spoken by 96 % of citizens, National Language)
Tanzania =Sukuma/Nyamwezi (spoken by 50 % of citizens, National Language for Lake Zone)

He he he, MaMdogo... eti national language ya lake zone... Bora ungesema lake zone language...
 
Back
Top Bottom