Where is the GENEVE OF AFRICA??

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Wadau,
Naomba niulize, iko wapi ile iitwayo geneva ya Africa?
Namaanisha sehemu ya Amani, isiyo na vurugu, isiyorindima risasi, isiyosumbua raia wake.
Je! iendelee kuitwa ni Geneva ya africa? Hivi wale wageni wengi wa kimataifa pale Geneva ya Africa wamejifunza nini kwa yaliyojiri tangu msimu wa uchaguzi mpaka JANA?

Naomba kuwasilisha..
 
JK kaihamishia polisi, ndo maana kachukua polisi wavuta bangi na wahuni wa mitaani waliofeli form four ndo wapo jeshini, pambaf
 
wakati mwingi hawa polisi tunawalaumu bure ukikumbuka wiki moja kabla ya uchanguzi polisi walifanya kazi nzuri sana hata siku ya kusubilia matokeo pale manispaa hatukuona huu use***** walioufanya jana...mi naona wakulaumiwa na uongozi hasa IGP....
 
Napata kigugumizi kuiiita Arusha ni geneva ya Africa, kwa yatokeayo....mh!!
 
I have quiz to ask Mr Mwema. What strategic plans available and criteria to be followed to recruit potential police student into police accademy in Tanzania?
 
Back
Top Bottom