Jamii inachakujifunzaWa nini?
Ubabe Una Mwisho Mbaya Sana.yupo kwake na familia yake , jazia nyama tujue unataka kujua nini?
Alikuwa IGP Mashuhuri sana.Lazima tujue Alipo tukamsalimieWa nini?
Ni Mzee wetu,Alifanya Vizuri akiwa IGPNi kwamba wewe ni SHETA, unamtafuta baba yako na hujui alipo, au!
😥Yuko kwake gongo la mboto huko anasumbuliwa na presha,kisukari na mkanda wa jeshi.
Mwaka gani alikua igp?Ni Mzee wetu,Alifanya Vizuri akiwa IGP
Mzee wako alikuwa ni Kamanda tu wa polisi wa kanda maalum ya Dar es salaam. Hakuwahi kufikia cheo cha IGP!Ni Mzee wetu,Alifanya Vizuri akiwa IGP