Kwenye viatu eeh..kitu high heels)
Boflo una mambo weye!!..umeifukunyuaje hiyo clip??
Muke ya Mubritish!!
Kwenye viatu eeh..kitu high heels)
Boflo una mambo weye!!..umeifukunyuaje hiyo clip??
Muke ya Mubritish!!
Hii ni kweli kabisa, Jana nilimpa demu wangu pesa kaenda kununua viatu pair 2 na ana pea zaidi ya 40 za viatu..
Wanawake kwa viatu!!!!
Kuna mdada namjua ana pea zaidi ya 300 za viatu!
King koooooooooooooooooooooooooooooooooo
Subiri wenzako wafungue halafu utapata jibu,
ulizotaja zote umekosa
Boflo una demu?!!?!?!
Haaaaa NN kwani Boflo ni Boflo kweli unataka kusema?
Mimi nadhani Boflo ni straight ila huwa anachezea tu akili za watu.
may be boflo kweli.
Oh yeah...anaweza akawa boflo kweli.
Pia kwa vile tu mtu anasema yeye ni straight hiyo haimfanyi yeye ni straight. Na kwa vile tu mtu anapinga sana ushoga hiyo haimfanyi yeye kutokuwa shoga. Tena hao wanaopinga kwa nguvu zote ndiyo wa kuwatilia mashaka haswaa....
Kwa kifupi, ushoga ni siri ya mtu moyoni mwake na kwa huyo mwenza wake anayeshirikiana naye hayo mambo. Kupinga tu ama kutopinga hakumfanyi mtu kuwa ama kutokuwa shoga!
Mimi nadhani Boflo ni straight ila huwa anachezea tu akili za watu.
Bofloooooooooooo...i plead guilty and ready to receive the judgement koz of overwhelming Youtube evidence.....:disapointed:
Hii ni kweli kabisa, Jana nilimpa demu wangu pesa kaenda kununua viatu pair 2 na ana pea zaidi ya 40 za viatu..
Wanawake kwa viatu!!!!