Where do I get my item after shipment (e-bay)?

God knows

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
276
173
I placed an order for the following item on e-bay: For Microsoft Nokia Lumia 540 Replace Battery Back Door Rear Cover Housing Case.

The order was placed on: Sunday, Dec 6, 2015

I used Free Shipping and the shipping service was Specified as Economy Int'l Shipping

My Shipping address is:

Sa***** *********
P.O Box 3******
Dar es Salaam Dar es Salaam DSM, TZ
TZ

I have been told that the item should have reached by now.

My question is, where do I get my item after shipment!?

Any one who has ever used similar service please!
 
Nilienda posta, na ile item sikuikuta. Ndio maana nimekuja hapa jamvini ili nipate mwongozo kwa yeyote mwenye uzoefu.
 
Nilienda posta, na ile item sikuikuta. Ndio maana nimekuja hapa jamvini ili nipate mwongozo kwa yeyote mwenye uzoefu.

Nenda Posta pale ulipofungulia ilo Box

Mzigo kutoka China mara nyingi ni 30days unakua umefika hivo kwa hiyo order date mpaka leo mzigo inabidi uwe umefika

Or less hiyo ox ina shida kama una reference number wapigie Posta makao makuu waeleze kama reference number hauna muombe seller or less usihangaike nae sana mwambie afanye shipping upya au afanye refund,it may not help though mpaka ubaini tatizo katika hilo box
 
Ngoja nijaribu huu ushauri! Nitaleta mrejesho nikipata jibu!!
 
Ngoja nijaribu huu ushauri! Nitaleta mrejesho nikipata jibu!!
Ushauri wa mdau hapo juu ufanyie kazi
Namba ya simu ni muhimu kwa kila Adress nahisi wengi wetu mizigo inafika sababu tunaweka namba ya simu na huwa tunakua notified kuifata posta kwa njia ya SMS
 
vipi kama hauna po box halafu katika order umeweka namba ya simu tu unaweza kupata mzigo wako?
 
vipi kama hauna po box halafu katika order umeweka namba ya simu tu unaweza kupata mzigo wako?
Utaupata iwapo umetumia kampuni kama DHL, ARAMEX etl kusafirisha mzigo wako, ambapo utapigiwa simu pindi mzigo wako ukifika.

Ila kwa mizigo yote ambayo inatakiwa ije kwa njia ya posta NI LAZIMA uweke S.L.P ili mzigo ukufikie.

Kama umeweka namba ya simu haitosaidia na mzigo si rahisi kuupata. - Labda itokee msamalia anayefanya sorting ya mizigo posta aamue kukupigia au kukutumia sms.
 
Mkuu wakisema free int'l economy wanamaanisha ni economy kweli... in another words ni cheapest shipping means available in the market. Wape up to 6 wks kiongozi ila mzigo utafika tuu..
 
nafikri DHL au ARAMEX ni wazuri zaid mimi niliagiza mashine za kunyolea nywele (30 pcs) toka china na jamaa wanaita KIKUU mwezi wa pili na zaidi sasa (60+days) naambiwa ipo njiani. uzuri nilikuwa sijawalipa.
 
Ni vyema kufanya makubaliano ya kusafirishia sambamba na bidhaa yako husika.

Ni vyema kwanza ukafanya maamuzi bidhaa ije kwa njia ipi.

Na ni vyema ikafahamika ghalama ya kusafirishia kwa option tofauti tofauti ambazo zipo.
Toka china kuna option zingine mzigo unachukua siku 15 hadi 21 kukufikia na ghalama yake ni kidogo sana na pia unapewa tracking number

Mfano kwa HK post ghalama ni ndogo ukiinganisha na DHL & ARAMEX au FEDEX au UPS, na bado mzigo unawahi kufika.

Epuka njia za usafirishaji ambazo hawatoi tracking number. Japokuwa mizigo hufika ila huchukua siku njingi zaidi.

Karibu
 
Back
Top Bottom