JuaKali
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 776
- 119
Source? Laws the Physics ni Universal FBI wala CIA hawawezi kuzivunja, hakuna example hata moja kwenye research community inayoonyesha kuwa kurecover erased data inawezekana, tena haiwezekani baada ya ku-overwrite mara moja tu, Eraser inafuta hata mara 35. Kwa kifupi hakuna sababu ya kuamini kama wanaweza, until ipatikane evidence otherwise.
Nafikiri huku tunakokwenda siyo kuelimishana bali ni ubishi wa vijiweni. Ni Laws zipi za physics zinazohusu data recovery ambazo mwalimu wangu alisahau kunifundisha? Kwa kifupi hiyo software unayoiamini kuwa ni kiboko "Eraser " haiwezi kufuta data zozote zilizoandikwa na OS zingine apart from Windows.
Katika tekinologia ni busara kusema understanding yangu inaishia hapa, kuliko kusema haiwezekani wakati watu wanacheza na hivyo vitu kila kukicha.