Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,707
- 128,343
Hahahaa. Mtuache Pacha. 💃💃💃💃Ila pacha bora yetu aisee, nyie Yanga msubiri maumivu
#wakimataifatuliobakia
Hahahaa. Mtuache Pacha. 💃💃💃💃Ila pacha bora yetu aisee, nyie Yanga msubiri maumivu
Pyramid fc haoooo😂😂😂😂😂😂Hahahaa. Mtuache Pacha. 💃💃💃💃
#wakimataifatuliobakia
😂😂😂Pyramid fc haoooo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 wa kimataifa,tunasubiri aibu yenuHahahaa. Mtuache Pacha. 💃💃💃💃
#wakimataifatuliobakia
duh! ukampatia Linda akakupa gari sema maumivu yalikuwaje?
kirumba tunaenda? Au ndio presha inapanda na kushuka?😂😂😂😂😂😂
Kasie🙈🙈Yalikua kama yale unayopewa wewe.
Kasie🙈🙈
Tunaenda tunaenda Mkuu. Hapana sijawahi pandwa na presha kabla.kirumba tunaenda? Au ndio presha inapanda na kushuka?😂😂😂
Home boy we huoni manzi mwenyewe anaitwa Financial Services!?Mimi uyu financial services tu ..Siku nikikutananaye nitakuambia..
Hebu nikute hapa
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.Mlikutana wapi we na partner wako? Lemme answer first. I met him mkuki pizza hut pale.
Wewe na mwenzio mlikutana wapi?
yule mama ntilie😂Mgahawani nilienda kupata chakula ye alikua mhudumu.