Where are we going?

Owosumbaku

Member
Jan 25, 2011
10
1
baada ya hotuba ya mkulu ya jusi, ninajiuliza kama anafahamu maana ya methali "akutukanaye hakuchagulii tusi...." itamnasua katika haya.....


1. Aliwahi kusema hajui kwa nini watanzania ni maskini.

2. CC ya CCM ikasema via CHILIGATI "KAMATI IMEONELEA DOWANS WALIPWE".....AG anasema serekali imeridhia, NGeleja akaasema serekali na tanesco zitailipa Dowans mara moja na akaenda mbali kutaja wamiliki feki wa DOWANS including Chandrachangra,,,,,,,nisaidie hili jina maana vizuri

JK akatoka kivyake tarehe 5.2.2011 "mimi siwajui dowans", ninataka wasilipwe"

Je yeye hahusiki na kauli yake, na pia kauli za wateule wake na maamuzi ya vikao alivyoketi nao?

3. Baada ya NGUVU ARi mpya na maisha bora kufeli, akaja na NGUVU ZAIDI na ahadi za Trilion 90 including bajaji chafua hewa.... tarehe 5.2.2011 anasema...

"watanzania wasitegemee makubwa maana hata maraisi wengine walishindwa"

Nauliza wana JF, where are we going?
 
nashauri kwenye katiba mpya wagombea wote wa Urais sharti liwe kupimwa akili! sio mambo ya kuzoa watu wenye utampiamlo wa Ubongo kuja kutuongoza! ipo siku anaweza kusema hazina yote ya benki kuu akabidhiwe RA!
 
Me either, hata sijui wher are we right now..(( t's so sad to have this mtu as our Prezoo((
 
Bahari ikichafuka sana tujipe moyo kwambo tuu katikati ya safari jitihada za makusudi ni lazima zichukuliwe na sisi wenyewe ili tufike pwani salama!..
 
we should firstly, ask ourself that, where are we now? before heading forward?
 
For this !!! we had lost the right way.......... We've to ACT NOW, 2015 is toooooo far!!!!
 
my self,huwa najiulza ila cpat jibu,lakini mustakabali wa taifa hili c mzuri,raic ajaye ana kila sababu ya kumlaumu mtanguliz wake (jeykei).
 
Nakubaliana nae anaposema 'watz msitegemee makubwa'..maana ni mpumbavu peke yake ndo hudhani akipanda chelewa utachipua mnazi. hakika.
 
Kwakweli si kuwa hatujui tuko wapi ila hata sisi wenyewe hatujitambui!
Hatujifahamu ni akina nani!? Na hapa tz tunafanya nini!? We think kila kitu Mungu kakifanya kiwe kama kilivyo!
 
Back
Top Bottom