AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,053
- 4,282
Ha ha ha ha ha ha LMAO dah...jukwaa la siasa lingekua english tupu wadau wangepungua sana !!
Mbona ameeleweka tu! tatizo lako nini, huwezi kuongea kama mzungu, na hata huyo mzungu hawezi kuongengea kiswahili kama mswhili.