When will TZ Natives have 1st priority to be benefited with Natural resources?

When will TZ Natives have 1st priority to be benefited with Natural resources?

Hivi unafikiri wale wazee wetu waliokuwa wakiwakamata wenzao na kuwauza kuwa watumwa kwa wazungu na waarabu wanatofauti na hawa watawala wetu? Unless, sisi tunaodharuliwa tuseme enough is enough ndo hali hiyo itakoma.
 
Umemsikia rais Wako Leo anasema kuwa hadi wawekezaji warudishe gharama zao zote, za utafiti na uchimbaji wa gesi, ndio TPDC ianze kulipwa up to 75% of the shares. Cha kujiuliza Ni kuwa mbona Geita Gold Mine wameanza kupata faida na kulipa kodi mwaka Jana. Barrick hawajapata faida kwenye migodi yake mingi na hawakuwa wanalipa kodi hadi Tulawaka inafungwa zaidi ya loyalty. Hii Ni habari mbaya kabisa katika historia ya maCCM kuuza nchi. Hadi hao wazungu na wachina watakapotosheka na gesi na kutangaza kupata faida ndio TPDC ipate shares. Kama CCM watakuwa madarakani maana yake Ni kuwa wanaweza kuhongwa na kusema wachimba gesi hawapati faida na hivyo hatutapata kitu. CCM Ni janga la kidunia, tushirikiane kuitokomeza
 
Hivi unafikiri wale wazee wetu waliokuwa wakiwakamata wenzao na kuwauza kuwa watumwa kwa wazungu na waarabu wanatofauti na hawa watawala wetu? Unless, sisi tunaodharuliwa tuseme enough is enough ndo hali hiyo itakoma.

Point+88 likes
 
tanzania ni nchi yenye rasilimali za kutosha kama madini,mito,maziwa n.k.hivi karibuni imegundulika gas pia,lakini kugundulika kwa gas hakujatoa nafasi kwa wazawa kuwa wa kwanza kunufaika nayo hii imejitokeza kwa serikali kutoa tamko kuwa hamna wazawa wenye huwezo wa kuwekeza ktk gas na kupewa vitalu.hivyo basi serikali ifikiri mara mbili juu ya kuwawezesha wazawa zaidi ingawa vigezo pia vizingatiwe kwa wazawa wanaotaka kuwekeza,wenye sifa zinazokidhi basi wapewe nafasi kuwekeza na hii itatoa fursa kwa wazawa kunufaika na rasilimali zao,sio watu toka nje wachume na kuondoka huku tukibaki watupu.

when i will be the president and you will be my active voter.
 
Huu ndio mfano wa "impossble future tens"!
 
The moment we emancipate ourselves from mental slavery!
 
At the time when CCM is completely dead, mafisadi wote ndani na wizi utakoma faida itaonekana
 
Back
Top Bottom