When They Were Dating.

Kumbe walishawahi!

NAPITA ulikuwa hujaipata hii? Ishu ni kwamba Madonna alikuwa analazimisha penzi ili aonekane yuko na jamaa. Tatizo lilikuwa kwamba jamaa alikuwa siyo mtu wa watoto, na kuna siku walikaa mgahawani wapenzi wa michael wakawa kama kawaida yao wanamwita jina na wengine wanapiga picha, ndo Madonna akawatukana kisa wanataka privacy. Mjomba akaona anahariwa pozi kwasababu anajari sana wapenzi wake ndo ukawa mwisho wao.
 
Sikuipata hii, aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…