Tuheshimu mfungo wa mwezi NTUKUFU wakuu![]()
Naunga mkono hoja
Hahahahaa mkuu ndio fashionnnnn haijachakaa iyoBeyonce suruali yake imechakaa sana
Namuoa huyuI picha inaoneshaa kidoti anauwezo wa kufanya chochote,.. Go girl,..sometimes I wish I were married to you!
Basi sawa tunakubaliana na wewe kuwa hakuwa anamtizama kidoti.Kuweni makini na hii picha.utagungua standing position ya kidoti eyes directions za jay z na mwanawe vinakimbiana 100%.meaning that baba na mwana walikuwa wanamtazama mtu mwingine kabisa ambaye alikuwa nyuma ya kidoti..Then wale watu wa nyuma kabisa km wanamshangaa kidoti may be kwa kujipeleka pale hali ya kuwa hashughulikiwi kabisa na jay z..NARUDIA ITAZAME TENA PICHA
Aseeeeeeeeee bibi dada kaumbikaaa aseee![]()
Naunga mkono hoja
Alikua aleta shobo, ndo maana wanamshangaa kama craziiii flani iv.Mcheki huyo mtoto wa Jay Z na wale jamaa nyuma yao hilo tabasamu lao
Na alimgomea kupiga picha , akamwambia kuna mtu kapiga picha nenda utaiona kwake..Hahah, kahisi huyu ni kiwavi jeshi
Roho mbaya iko wapi hapo.What ever ilivyokuwa we utabaki ww,mm pia ni mm,na kidoti ndio alienda sa ulitaka wote tuseme ndio hata kama macho yangu yanamakengeza?.me sio mjumbe ndio...pole mkuu naona povu limekujaaBasi sawa tunakubaliana na wewe kuwa hakuwa anamtizama kidoti.
Acha roho mbaya.